Id inayojua kutoa uzi ila haichangiagi nyuzi nyingine

Me too

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
7,377
9,302
Habari za hapa!!!!!!
Kwa mtazamo wako tangu umejiunga JF hasa MMU ni ID gani inajua kutoa nyuzi nzuri sana zenye maadili kwa jamii hasa MMU na hazijui kuchangia nyuzi za wengine. nitaanza na #lara 1 mwingine!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi nyuzi kama ya "namna ya kumpata mume wa mtu nayo ni ya maadili"?

Anyways, ngoja niende kwenye thread za Tanzania ya viwanda
 
Kuna mtu amaitwa Jamii Jobs, yaani yeye ni kuanzisha tu thread, lakini za wengine hachangii
 
Back
Top Bottom