Sasa IT wenyewe wako wapi??wewe unaweka board wakati waliopo chenga na kanjanja!Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu
kaka naunga mkono, nilikwa na mawazo kama yako, nimetembelea India na hata Rwanda ,hii board wanazo , sijui tuanzie wapi kupigania hili suala , mimi ni IT proffessional lakini nipo registered kwenye Board of Engineers, sijisikii Raha , tuwe na board yetu. Tunaomba Msaada wa kisheria , waweze kutusaidia hili, ili tufikie lengo.Tupo nyuma sana mkuu.unaweza ukanipm kaka vip tujue tunafanyeje.Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu
Sasa IT wenyewe wako wapi??wewe unaweka board wakati waliopo chenga na kanjanja!
Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu
kaka huyo achana naye yupo kisiasa zaidi, sisi tupo kiproffesional, siasa weka pembeni , Tujadili kitu kitakachoikomboa nchi yetu. tuweke board ambayo pia itakuwa certifieid under ISO 27001, hii itakuwa safi, kuna makongamano mengi yanaishia kenya, huku hwafiki. mfano Oracle 11g walishindwa kufanya exbition bongo , hawakuwepo watu wa kuwapoke, Microsun system washindwa kuja bongo, bcoz of this , tupo nyuma mkuuu, Tuanche siasa tulinde Proffessional , huwezi kuwa IT kwa kuclaim lazima ujue vitu. Tutaweka standard mbalimbali kutegemeana na uzoefu wa mtu na Knowledge yako. Mambo ya kujifanya wewe ndiyo IT, wakati uko shalo yataisha. kaka hilo ni wazo zuri tuikomboe IT tanzania ,imeingiliwa.tutaweka madaraja, mfano( Graduate IT, IT Associate , IT proffessional) hili itakuwamuhimu sana kuilinda taaruma ya IT.Tunaomba watu ambao mupo kwenye hii field Toeni msaada wa kimawazo tufike lengoWe ulitaka wakufanye nini ndio ujue wapo? Changia hoja, kama huna hoja kaa kimya.
Wazo zuri ila Jangakuu kafafanua vizuri kuna vishoka wengi wa IT na wana ajira nzuri! lakini ni kwakuwa hakuna mpangilio wa analysis ili kujua who is who!Google walikuja hapa kufungua center lakini waliopo kwenye mamlaka ya mawasiliano wakasua sua mwisho jamaa wakaishia kenya wamekuja juzi tu!ndo maana unaona tafsiri ya google ni ya kikenye utasikia "Wavuti"hakuna kitu kama hiki ni "Tovuti"lakini kam wangeanzia hapa ungekuta kiswahili cha goole ni kizuri lakini hivi vyote ni urasimu wa mamlaka husika!We ulitaka wakufanye nini ndio ujue wapo? Changia hoja, kama huna hoja kaa kimya.
Kakakiiza tunakuheshimu sana aisee... hapa ni kudharirisha taaluma za watu, mbona wahasibu wako wezi tu, maengineeer majengo yanadondoka kila siku, madr wanawafanyia operations watu za kichwa badala ya miguu je hawa si kanjanja? Kwa taarifa yako hapa tuliko bila ICT nchi ingekuwa imekwisha maana sisi ndo tunasimamia na kutengeneza kila Mtandano unaona unakusaidia na kama si ICT hata wewe usingekuwa ONLINE, maana JF iko kwenye server ambazo zinasimamiwa na wana ICT tena wa hapa hapa TZ (unawajua), Simu zako pia ukipiga zinapita kwenye mitandao inayosimamiwa karibu na ICT, na kodi za serikali siku hiz sinakusanywa kwa njia ya mtandao haya yote ni matunda ya ICT.....Sasa IT wenyewe wako wapi??wewe unaweka board wakati waliopo chenga na kanjanja!
Ben Mugashe nijuavyo kila tasinia ina mkanjanja wengu tu! ila kuna tasnia hazitaki ubabaishaji!!ICT,Nikitu kingine ukifany aubabaishaji nchi hii imeenda na maji nasema kuna idara nyingi zinahitaji ICT nazilizopo nyingi zimekuwa na ma ICT wanje matharani kutoka Kenya!Ila sikukashfu ndugu yangu ila ninachokiona nikama wajitambui kwani kila mwenye uwezo wa ICT anaenda nje kwakua hapa hawathaminiwi!!huo ndo ukweli ukisema kila nitumiapo ICT ni yawatanzania siyo kweli!Kakakiiza tunakuheshimu sana aisee... hapa ni kudharirisha taaluma za watu, mbona wahasibu wako wezi tu, maengineeer majengo yanadondoka kila siku, madr wanawafanyia operations watu za kichwa badala ya miguu je hawa si kanjanja? Kwa taarifa yako hapa tuliko bila ICT nchi ingekuwa imekwisha maana sisi ndo tunasimamia na kutengeneza kila Mtandano unaona unakusaidia na kama si ICT hata wewe usingekuwa ONLINE, maana JF iko kwenye server ambazo zinasimamiwa na wana ICT tena wa hapa hapa TZ (unawajua), Simu zako pia ukipiga zinapita kwenye mitandao inayosimamiwa karibu na ICT, na kodi za serikali siku hiz sinakusanywa kwa njia ya mtandao haya yote ni matunda ya ICT.....
Turudi kwenye Topic bana tuache hizo mambo za kukashifiana......ICT board Inahitajika sana maana watoa huduma wengi wanatutegemea ila hawatutambui
Mkuu umeleweka sasa..TUKO wachache na wengi wetu hatujaiva kivile ndo maana ikiwepo Board ndo tutakuwa na wajuzi wengi na nchi itatambua ina wangapi..Imagine Kenya now wana ICT Ministry, hapa kwetu hakuna hata department zaidi ya TCRA kuokoa jahazi..Ubarikiwe kaka nakushauri uwape moyo vijana wanaomaliza vyuo maana tunajitahidi sana kuelimishana na kupena moyoBen Mugashe nijuavyo kila tasinia ina mkanjanja wengu tu! ila kuna tasnia hazitaki ubabaishaji!!ICT,Nikitu kingine ukifany aubabaishaji nchi hii imeenda na maji nasema kuna idara nyingi zinahitaji ICT nazilizopo nyingi zimekuwa na ma ICT wanje matharani kutoka Kenya!Ila sikukashfu ndugu yangu ila ninachokiona nikama wajitambui kwani kila mwenye uwezo wa ICT anaenda nje kwakua hapa hawathaminiwi!!huo ndo ukweli ukisema kila nitumiapo ICT ni yawatanzania siyo kweli!
Wazo zuri naunga mkono 100%, but inabidi tufanye uchunguzi kidogo maana unaweza kukuta hii bodi ipo tangu siku nyingi ila haionekani au ilivunjwa kwa muda maana mambo ya nchi hii huwa siyaelewi,kuna vitu vingi vipo ila kwenye makaratasi.
Unapenda ukoloni wewe! Napenda kuwe na many optional certification kama ilivyo sasa. Haya mambo ya kila kitu serikali ni utumwa! IT Sio ujenzi ambapo yakianguka yanaua watu!Tumezoea kuona profession mbali mbali zikiwa na board zao. Mfano board za engineers. Procurement. Accounting
Natamani kuona uanzishwaji wa board ya Information Communication Technology nayo itambulike kisheria na iwe na power kumandate professionals wa ICT na kupima sylabus zetu
Acha dharau wewe!Sasa IT wenyewe wako wapi??wewe unaweka board wakati waliopo chenga na kanjanja!
Let the Market decide. Hapa serikali inapaswa kukaa pembeni iangalie tu sheria zake hazivunjwi basi! Makampuni ya IT ndi yawe na cerification na hizo zimtambulishe mtu mtaani. Else itakuwa ukiritimba!Ni muhimu sana maana hii fani imevamiwa sana yaani kila mtu ni IT. Hata akisoma MsWord na Excel anajiita mtaalamu wa IT.
Unapenda ukoloni wewe! Napenda kuwe na many optional certification kama ilivyo sasa. Haya mambo ya kila kitu serikali ni utumwa! IT Sio ujenzi ambapo yakianguka yanaua watu!
Sasa IT wenyewe wako wapi??wewe unaweka board wakati waliopo chenga na kanjanja!
Hii ni moja ya idea mbovu ambazo nitazipinga kwa nguvu zote, hakuna haja ya kuwa na board ya ICT, IT/CompSci/ICT/ haifanani na traditional engineering kabisa, hakuna strictly right or wrong way ya kufanya kitu ni field siyo tu inayobadilika kila siku lakini watu wanatakiwa wawe na uhuru wa kusolve matatizo kwa njia mpya za kiubunifu, ICT zaidi ya kuwa Science pia ni Art.
Board itadumaza taaluma na kuzuia new comers wasiingie kwenye field na nahisi itatumika kuzikandamiza kampuni na developers wadogo.
Beauty ya IT ni kwamba kijana mdogo ambaye hana uzoefu wowote anaweza akakaa chumbani kwake akafanya mambo ambayo yanaitetemesha kampuni yenye Mabilioni benki kama Microsoft au Apple. Jiulize kama hiyo board ingewasaidia akina Bill Gates, Michael Zuckerberg, Larry Page etc
Pia sioni haja kwa kuwa kuna standards na certifications kibao tayari, so kama mtu anayeona anahitaji project yake ifanywe kwa kufuata standard au technology fulani yuko huru kuwatafuta watu walio certified kwenye standard/tech hiyo.