ICT jobs

Warning:

DO NOT apply or send any emails until this person explains where's his/her office.

Invisible
 
More like Sales and Receptionist Jobs amirite?
 
Hivi ni tabia gani ya mtu atume maombi katika ofisi ambayo haijatambulika hata iko wapi ndani ya TZ halafu aambatanishe recent photo!!??Bado haijaingia akilini yaani sijapata logic(science of good reasoning)kuhusu picha katika hatua ya awali kabisa??
 
masikini huyu aliyepost hajajua kama hapa ni home ya great thinkers. Lol!
 
umeangalia hata hiyo email profile yake imesajiliwa lini google ? iadd kwenye google group yoyote ile utaweza kufuatilia kujua ni wapi tena amepost hilo tangazo lake ni sehemu nyingi tu
 
hivi alikua anafikiri humu ndani kuna vizungu mkuti nini???please toa maelezo kamilifu or ondoa hiyo post!!
 
Haha ni noma wakubwa' nimeipenda, pia waajari sio kazi zote you need people with at least a degree, haingii akilini kama mtu anaweza forge certificate then aka deliver bila matatizo! hii inapelekea kunifanya niamini kuwa waajiri mnakimbele mbele cha kutafuta high qulifaction kwa kazi ambazo zinawezafanywa na mtu anayejua kuongea kiingereza standard seven'
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…