Civilian One
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 246
- 189
Nimenunua iphone 7 used kwa online market baada ya kuiwasha(kufungua) nikafika mahali inaitisha ID ya mwenye alikua akitumia na wala sina njia ya kumpata.nimejaribu kugoogle nipate njia nikapata ya Kwamba wapo wanaoweza kutoa account ya zamani tatizo wengi ni scams.kam yupo aneaweza nipa maujanja AMA kuifungua aniinbox tuonngee zaidi
Icloud haitolewi kiongozi, the best option ni kumtafuta first user wa hiyo simu, wasiliana na huko ulikonunua ujue watakusaidiaje
But i came across some sites zinaclaim zinatoa Sent using Jamii Forums mobile app
Niko MombasaPambana aisee... ikishindikana niuzie betri kama bado zima... nina elfu 20 cash...
Sent from my iPhone using JamiiForums
Usijisumbue kutoa hiyo kitu kiongozi! Wengi wao wana claim wanaweza kutoa lakini kufanikiwa ni 10% hakuna mtu ambae anatoa hiyo icloud completely kama wanavyodai
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]