Nimekupa Like ila nimevunja laptop yangu kwa kufuata ushauri wako wa kuangalia picha upside down.....I blame you for that kwani umenipata.
Nunua kitu ya kisasa mkuu. Unaweza kuflip screen bila kuzungusha mtambo.
maisha haya bila kufurahi hata kama mambo magumu unaweza ukavaa ch.u.p kichwan wacha tujiridhishe kiaina ..au hujui faida ya kuBATASAMKazen but lakn yasiyo na maana ondoen.tunahitaj kujifunza na sio comed kila kukicha
umeipenda bifoo au aftaa...?nimeipenda.
Ila kweli pombe ni noma, yaani kabla ya bia 6 ni kikongwe, akishapandisha bia 6 anajiona ni mrembo/queen
Ilibidi niligeuza chogo juu chini! Kumbe ndio inavyokuwa hivyo ukiweka viroba?
Kucheki picha hii upside-down ni ngumu kwa sisi wenye desktop za 'chogo'.