Meitinyiku L. Robinson
JF-Expert Member
- Aug 29, 2011
- 412
- 90
Hakuna baba anayeweza kukiri nje yeye ni mdhaifu na hana uwezo siku zote lazima ajitutumue ndicho alichofanya mheshimiwa hapo, kwa kweli mi nafikiri ni jambo jema lakini Arusha inahitaji planning ya hali ya juu, kwa sasa ilivyo arusha mjini kwa kweli sipapendi haswa kwenye suala la miundo mbinu (barabara) tayari mji unafoleni je tuikuze iwe kama dar tunahitaji kwanza kufikiria namna ya kupunguza kero iliyopo na ndipo tuendelee na hili jambo, na mji unatakiwa uexpand outward sasa hivi la sivyo hapata kuwa na mvuto, jambo jingine ni uangalizi wa majengo ya urefu gani yanajengwa wapi kwa sababu we need a good supply of natural air sasa pale ambapo
kutukuwepo na uzibaji ni dhahiri tunatengeneza tanuru, ni hayo tu. kuhusu pesa sasa
nilimsikia mtoto wa mkulima akiuliza mnataka tuwaambie tra waanze kutafuta mapato kwa
nguvu ni dhahiri wakizitaka hizi pesa toka kwa wananchi watazipata tu,
Mawazo mazuri sana juu ya nini kifanyike ili kupanua mji ila my friend kwa situation iliyopo Arusha itatuchukua miaka kila kitu sasa ni Siasa hakuna tena cha Uchumi wala Jamii its all about Politics mara leo utasikia Meya kesho Mbunge, keshokutwa Madiwani, yani wangeweza kukaa wakachukua mawazo kama haya at lst tungeanza kusogea hii Ar yetu we acha tu........