ICC justice is selective – Kagame


Charity begins at home my friend....At home!You need to put your own house in order my friend before you think of helping someone else's house..That's where we Tanzanians get it wrong!
 
Mhalifu hawezi kuunga mkono utaratibu wa kisheria unaotishia uhalifu wake. Kagame ni mhalifu, muuaji wa kimbari na anayesaidia waasi wa nchi jirani kuendesha mauaji kwa wananchi wasio na hatia na kuiba madini. Mambo anayofanya DRC hayana tofauti na mambo aliyokuwa akifanya Charles Taylor wa Liberia huko Sierra Leone. Na anajua kuwa suala la yeye kwenda ICC ni la wakati tu hovyo kamwe hawezi kuunga mkono ICC.
 

Unamaanisha Rwanda ziko mbili au?Kama hoja ni kwamba Kagame anawabagua baadhi ya Wanyarwanda hapo siwezi kubisha inawezekana hilo lipo lakini mbona hata hapa Tanzania kumekuwepo na malalamiko ya Serikali kulikandamiza kundi flani na kulipendelea kundi lingine?Yote tunayomtuhumu Kagame kuyafanya sijui Congo sijui Rwanda mbona Watawala wetu wanayafanya hapa hapa Tanzania?Pamoja na madhaifu yake Kagame anafanya kazi nzuri sana ya kuleta maendeleo Rwanda,Jamaa excellent leadership skills & abilities na pia ana-keep up with the Information Technology World.Tujifunze kutoka kwake
 
Lakini watanzania nyiyi mnajiona wasafi sana? hayo mauaji yakutatanisha yanayofanyika tz unafikiri jk angekua siokujipendekeza kwa wazungu naye hivi tungemsikia ICC lakini kwa sababu aliamua kua kibaraka wao wanamuhifadhi,lakini siku atainua kichwa watambeba,hao viongozi ambao wanaonekana kukwaza masilahi ya hao wazungu lazima azushiwe mara anakandamiza demokras,mara muuaji na mengine ilimradi wampeleke ICC,niulize kiongozi gani afrika asiye kandamiza upinzani au hata kuua wapinzani?inabidi mumuelewe pk,yeye hajakataa mahakama ila anachotaka ni mambo yote yafanywe kwa haki bila upendeleo au ubaguzi,marais wengi wa afrika walishabikia ICC wakifikiri wataitumia kukandamiza upinzani kama inavyotumiwa na kabila,lakini wamekuja gundu wamejiwekea mtego wao wenyewe,waafrika tunahitaji haki lakini inabidi tuwemakini kwa hii ICC nikwa manufaa ya hao mabwana sio waafrika.
 
Kagame na experience yake ya Rwanda genocide na unafiki wa hizi international bodies walijua ICC ni useless ndio maana Rwanda walikataa kujiunga na ICC from the get go...kuna siku mtakuja kumwelewa na swala la Congo pia.

kwa sasa kagame hana ubavu wa kukwepa tena sheria labda atangilie jehanamu!
 

unafikiri kwa kutumia mavi kama si ma..t..a..k..o
 
kagame ni jambazi tu. huwezi kumcompare na Nyerere hata kidogo. Falsafa yake ni kuwa na watutsi wenye maisha bora tu basi.
Hakuna chochote alichokifanya cha kudumu isipokuwa ku create big gape kati ya watutsi na wahutu. Maendeleo ya rwanda ni dhuruma ya kagame kwa watu wa kongo. hiyo inaweza kupotea ndani ya muda mfupi tu. kwani mali ya dhuruma huwa haidumu
 

Kaka unamkubali kwa lipi? ni kitu gani alichokifanya cha maana kwa hata nchi majirani zake? huyu anatakiwa astep down awaachie wengine waongoze nchi. Otherwise anatengeneza genocide nyingine kubwa kuliko ya 1994
 
Nakubaliana na wewe Mjuni Lwambo je Tribunal ya Cambodia ni ya Waafrica akina Ieng Sary, Ieng Thirith,Khieu Samphan, Nuon Chea, Ta Mok wote kwa vita ya Khmer, ICTY akina Slobodan Miljković president of Serbia, president of Yugoslavia, Goran Hadžić former president of the Republic of Serbian Krajina, Radovan Karadžić President of Republic of Srpska, Ad Hoc Tribunal for East Timor ina maana zote za Waafrica? ashukuru Carla Del Ponte aliondolewa kwa nguvu angevutwa tu mahakamani maana huyo mama alishaanza uchunguzi wake na ndiyo maana Rwanda ilikuwa against ICTR. Na bado anajua hasipopata support iko siku atavurutwa mahakamani kwa mauaji ya Marais Habyarimana na yule wa Burundi Cyprien Ntaryamira, na bado mauaji ya maelfu ya Wakongo. nabado anajitapa wapinzani wake wanapouawa uko Afrika ya kusini.
Huyu si mtu wa kusema mkamsifia. kamweka mpinzani wake huyu mama mVictoire Ingabire askini kifungoni anaozea uko eti anajitapa mtu safi

 
Hana jipya hata nchi yake imepiga hatua kimaendeleo cyo kinga kwamba yeye c dikteta! He is a criminal n he will bear the consequences one day
 
Mkuu, hivi sasa nilikuwa nasoma habari ya mauaji ya Patrick Karegeya ndio nikaona notification, watu wana mu suspect Kagame na yeye binafsi amenukuliwa akijigamba kwamba no one can betray Rwanda(infact Kagame)and get away with it.

Karegeya alinukuliwa hivi karibuni na Radio France International akidai kuwa ana ushahidi wa Kagame kuwa ku play key role katika genocide, kwa hiyo umma unaamini Kagame amehusika moja kwa moja, kwa hiyo mkuu viongozi waovu na wauaji wa aina hiyo ni lazima wapinge ICC, wananchi wa kawaida tusiruhusu wajitoe ICC.
 
Hana jipya hata nchi yake imepiga hatua kimaendeleo cyo kinga kwamba yeye c dikteta! He is a criminal n he will bear the consequences one day
Wishful thinking!
 
Hivi marekani inaoowasaidia waasi wa siria sio kosa?sasa kagame akisaidia m23 shida iko wapi?
 
Kaka unamkubali kwa lipi? ni kitu gani alichokifanya cha maana kwa hata nchi majirani zake? huyu anatakiwa astep down awaachie wengine waongoze nchi. Otherwise anatengeneza genocide nyingine kubwa kuliko ya 1994
He's the one who stopped genocide and alichofanya kwa wananchi wake number don't lie do some simple research sio kjleta uzushi...na policy zake zote ni kuondoa hizo genocide ideology,strong economy and make Rwanda equal and one nation and practically vinaonekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…