Natanguliza salam,
Kwa wadau wa electronics, natafuta integrated circuit namba sta540sa, nimejaribu sehemu kadhaa nimekosa kwa Dar, kvd na baadhi ya maduka... naombeni msaada kwa mwenye nayo, au pia nifahahishwe kama kunaweza kuwepo ic nyingine inayoweza kutumika badala ya hii (equivalent) .
Asanteni.