Ntarahamwe!
Interahamwe
? Those who stand/attack together
Just listen the way Lipumba pronounces it!
Namshauri mzee wangu Lipumba arudi nyumbani Sikonge akagagombee ubunge ili apambane na mafisadi vizuri bungeni.
Namwamini Lipumba hoja zake ni za msingi sana,pia atatumia fursa ya kikatiba kuishauri serikali vizuri kama atakubali ushauri wangu.
Dah nyinyi jamaa ni shidahNia yako mbaya umeishachagua mgombea wako wa uraisi na unataka kuwapangia wengine majukumu tofauti mi nashauri asitokee mgombea yeyote kutoka chadema kwa sababu hawana uzoefu wa kugombea kama Lipumba au unasemaje?