Chadema wako kimbele mbele eti mboe atapambana na lipumba anachekesha sana mboe kafeli fm six atamuweza somi mikutano ya vyama vya siasa imekataliwa mboe kaufyata ona sasa mnyamwezi anacho kifanya kusini watabaki kusema katumwa huyo haogopi kupigwa maana ni mtetezi wa haki mboe mtetezi wa tumbo lake ukuta uko wapi nilisema ukuta huu ni wa biskut ulivyo mwagiwa maji ukayeyuka hakuna kama lipumba lip lip lipumba