Hela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
Hela alizopewa na maccm zina kipengele cha kujiabisha kisiasa mpaka adhalilike na kudharauliwa ndiyo ataachwa azitumie kwa uhuru, usicheze na hela za bure wewe
Vijana wa CCM mnatumika vibaya na ni dhambi kwa nyote mtumikao vibaya kama Propesa Pumba,inabidi Haki za binadamu waingilie kati dhidi ya harrassment hizi kwa hawa watu.
Very miss used.
CUF inanganganiwa huku na huku, sasa kwa hz nguvu mbili zinazoivuta CUF kama haitapusuka katikati mwaka huu sijui.
Vyovyote iwavyo pesa ina nguvu lakini haiwezi kuushinda moyo. Mioyo ya wengi najua inapenda upinzani wa kweli na nina imani kuna siku pesa itajitenga na ukweli na CUF salama inabakia.
Ni sawa na kuoa mwanamke kwa sababu kapenda hela yako, ila kumbe kuna jamaa yake wa ukweli anampenda, hata ufanyeje atachepuka tu kuridhisha moyo wake..
Nawashauri CUF warudi njia kuu,, mchepuko siyo deal😎😎
Prof Lipumba labda anafanya utafiti lakini pale anapo jihusisha na kufungua account mpya ya CUF hapo nimemuwekea alama ya ? Watanzania wengi tunaopenda kufuatilia siasa za Tanzania tuna mshangaa sana msomi huyu ambaye hatunzi kauli zake hivi hao wanao muunga mkono ni kwa lipi (Prof Limpumba does not keep his words as a public figure)