VISA ya kwenda Mbinguni kifo.Cjaona VISA ya mbinguni hapo.
Kazi ni kipimo cha utu
Bwashee jipakulie minyama tuHahahahahaaaaa buashee
Mleta mada hawezi kuwa Ibra mkuuHuyo ni wewe ,unajipakulia minyama tu
Kwanini kiongozi?Mleta mada hawezi kuwa Ibra mkuu
Haka kajamaa ni kweli Jana hela ila nakaona kama kashamba Fulani hivi...ana ule ushamba wa kitoto sanaMwamba mfanyabiashara maarufu Tanzania wa mtandanaoni Ibrahim Chenza the king of Oviedo kajiposti kwenye ukurasa wake wa Facebook akituringishia mihuri na visa kadhaa kwenye passport yake.
Video hiyo inamuonesha kakaa kwenye waiting lounge uwanja wa ndege huku akifungua kila kurasa za passport kwa madaha.
Dogo adriz ana passport lakini hajawahi kusafiri hata nje ya Dar.
Hongera zake.
View attachment 3597073
adriz de mbusii
Sio kweli Bwashee ,Mtoto halali na helaYote ni ubatili
Naunga mkono hojaSio kweli Bwashee ,Mtoto halali na hela