Wakuu nipo katika moja ya mikoa ya nyanda za juu kusini katika mihangaiko ya maisha sasa kuna kituo kimoja cha radio ambacho kinamilikiwa na mtumishi Dk Boaz solo nimekua nikisikia matangazo kuhusiana na ibada ya mafuta ambapo waumini watakanyaga mafuta hayo ili kujitakasa na kuondokewa na majanga mbalimbali na pia watoto watapewa pipi maalun (lollypop) zilizoombewa naomba wataalam wa hizi mambo watiririke hususan kuhusu hili swala kukanyaga mafuta ya upako,mkuu Mshana na wataalam wengine karibuni sana kwa ufafanuzi