Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 77,972
- 165,420
tumezoea wazee wa kanisa wanazichukua na kuzihesabu pamoja halafu tunajulishwa makusanyo, je hapa nani atahesabu wkt waumini wenyewe tupo online hatujaenda?Inaitwa e-sadaka, kwa m-pesa, airtel money , tigo pesa na umoja switch, pia mlangoni kuna swipe machine ya visa na tembo card master card.
tumezoea wazee wa kanisa wanazichukua na kuzihesabu pamoja halafu tunajulishwa makusanyo, je hapa nani atahesabu wkt waumini wenyewe tupo online hatujaenda?
kwa hi-Tech countries hii kitu ipo tayari...
Huku kwetu ishafika mbona.