Hivi utajiskiaje na waislamu wakija hapa na kuanza kuitukana dini yako? Wewe inakukera nini wao wakiabudu?je inakupunguzia mshahara wako?.....kutukana imani ya mwenzio(ambayo huifahamu na wala haikuhusu) ni dalili kukosa UUNGWANA, hivi unataka dunia nzima wawe na imani kama yako?HILO HALIWEZEKANI mkuu. Jifunze RELIGIOUS TOLERANCE, naamini hata huko kazini na mtaani kwenu kuna watu wenye imani tofauti na yako. Kutumia ID fake hakuficha UJINGA(Si tusi ila ni state of ignorance ) uliofichama kwenye ubongo wako na mawazo yako mgando ya kudhani kuwa kila ufanyacho wewe ni sahihi na ni lazima kila mtu akifuate, na wala pia si tiketi ya kutukana dini ya mwengine.
Chambilecho
Invisible kajisemea "ficha ujinga wako...."