Black beauty are out of sight, let's wait
Ule mkorogo wa ray c nadhani siku tatu tu unakuwa mwarabu kama huyu
Hi, Iam a man aged 30 yrs looking for a woman who will marry me aging 25-31 yrs,white in colour and natural not artificial. Her education at least a dploma-masters, Emotionally Woman You are Welcome.For more information Pm Including Your Phone Number thanks
Kwanini, hawapo wenye hivyo vigezo ama?Ila huku sio rahis ufanikiwe labda jaribu fb
sorry.....!!!
huyu ni katuni au mtu anaye exist ??
au picha ya kuchora ??
Usingizi wa mwanaume mwenzio huo. Tena ni mke wa celebrity wa bongo hapa.
sorry.....!!!
huyu ni katuni au mtu anaye exist ??
au picha ya kuchora ??
Nyani Ngabu na The Boss hebu nifundisheni lugha hapa. Hivi mwanaume akisema im looking for a woman who will marry me, ama im looking for a woman to marry; kuna tafauti? As in terms of kuoa na kunioa?
NB: mtoa mada, mie siko eligible
Ule mkorogo wa ray c nadhani siku tatu tu unakuwa mwarabu kama huyu
Ule mkorogo wa ray c nadhani siku tatu tu unakuwa mwarabu kama huyu
Kuwa kama jini akhaaaa, bora nibaki giza tuu kama jembe jipya dada king'ast
Usingizi wa mwanaume mwenzio huo. Tena ni mke wa celebrity wa bongo hapa.