Iacheni chadema iitwe chadema!!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iacheni chadema iitwe chadema!!!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mgen, Feb 11, 2011.

 1. mgen

  mgen JF-Expert Member

  #1
  Feb 11, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 15,148
  Likes Received: 1,882
  Trophy Points: 280
  Ni kutotutendea haki wananchi, wanachama, na wapenzi wa CDM Kulazimishwa kwamba CDM iungane na vyama vingine ili kuharakisha kuiangusha ccm. kwani panya 90 wakiungana akija paka kuna panya atabaki?

  Sisi wananchi ni haki yetu ya kikatiba kuvisikiliza vyama vyote na kile ambacho unaona kinakidhi haja zako za kujikomboa unajiunga nacho.

  Kwani sikuiona ccm cuf updp udp dp.....vyama viko vingi ili mwananchi apate uwanja mpana wa kuchagua

  Leo lengo lolote la kuunganisha vyama au muafaka ni kuwaburuza wanachama kwa lengo la kuwapa viongozi wachache fursa ya ulaji ili waghawane kuku bila bugdha.
  MCHAWI AKIKOSA WA KUMLOGA HULOGA WAJUKUU!
   
Loading...