Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,048 Nov 2, 2012 #1 jamaa alisafiri kwenda marekani kufika tu akamtumia msg mkewe is very wonderful i wish you were here, kumbe katika kutuma akafuta ile herufi ya mwisho bahati mbaya! msg ikaenda hivi :is very wonderful i wish u were her
jamaa alisafiri kwenda marekani kufika tu akamtumia msg mkewe is very wonderful i wish you were here, kumbe katika kutuma akafuta ile herufi ya mwisho bahati mbaya! msg ikaenda hivi :is very wonderful i wish u were her
yaser JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 1,361 Reaction score 299 Nov 2, 2012 #2 then what next....
DAWA YA SIKIO JF-Expert Member Joined Dec 8, 2011 Posts 978 Reaction score 184 Nov 2, 2012 #3 Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena.
Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,453 Reaction score 872,048 Nov 2, 2012 Thread starter #4 yaser said: then what next.... Click to expand... ...next...!
Pancras Suday JF-Expert Member Joined Jun 24, 2011 Posts 8,143 Reaction score 3,848 Nov 3, 2012 #5 DAWA YA SIKIO said: Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena. Click to expand... mla mbwa! Unamaanisha mhehe? Duh!
DAWA YA SIKIO said: Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena. Click to expand... mla mbwa! Unamaanisha mhehe? Duh!
Aaron JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 3,019 Reaction score 4,695 Nov 3, 2012 #6 DAWA YA SIKIO said: Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena. Click to expand... hahahaha..mkuu umenifurahisha...ila demu wangu wa kihehe simwachi.
DAWA YA SIKIO said: Daaaaaaaaaaah nimeelewa. Hapo demu lazima limshuke. Afu ndo vile tena jamaa yuko na her. Kama ni mla mbwa atajinyonga walai tena. Click to expand... hahahaha..mkuu umenifurahisha...ila demu wangu wa kihehe simwachi.