Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter
-
- #41
Soma kwa makini what has been put forward na mwenzetu... imenisikitisha sana. Familia, kabila, anakokaa nk. Mbona alianza hata kutoka nae if it seems it was against all odds(because the only complement ametoa ni kwa alimpenda huyo binti tu - not what she represented!)
De Novo hate my guts but I speak what is from my heart maana imenigusa.
Story yako imenigusa sana Kingi kwani na mimi kuna binti mmoja tuliingia kwenye mapenzi kupitia simu na email sasa tumeonana nimegundua kuwa simpendi kama ambavyo nilikuwa nahisi mwanzo, napata tabu sana manake yeye anaonyesha kunipenda sana wakati mimi kama vile najisukuma kumpenda kitu ambacho naona kitatuletea matatizo baadae. Am in dilemma
Kingi - In life you have to be tough to be kind. Nilisoma even between the lines. Advice yangu ni moja one cannot please everybody, but its better to be a man of honour... Yaani ungemweka bayana huyo binti kutoka mwanzoni.
In life we always take the road most travelled. Robert Frost aliandika kwenye Poem ... Take the road less travelled and it will make all the difference.(It was straight and narrow)
This road tells you to be true to yourself and others, na hapo huyo binti hangebuild expectations zozote. Pia soma kwenye Bibilia kuhusu 1 Corinthians 13:1-8a and 13.
[/QUOTE]now we can discuss. kwa kuwa mi si mkamilifu basi niukubali udhaifu wa mwingine kama msalaba wangu? only JESUS did that for us.
hii nukuu nayo ina uzito wake
usitake kujua undani zaidi ila yatafakari haya kwa sasa.
bora F1 na Gaijin mmeona hilo na wao wapate kuona hayo. sasa sijajua kipi bora: kuwa kimya au kuwa mkweli
I find it very difficult to comment on this since i dont know a lot of things that you have deliberately decided not to disclose, however i find some elements of sincerity in your post, i think there are some serious issues that led to that decision.All the best in finding your soul mate. As for her, i believe she will be ok, we have all been hurt at some point, and i think thats maturity in lovelife, it prepares you to overcome storms in marriage.
ama ...nadharia ya mapenzi ni kubwa
kuna wengine wanaamini kuwa kumpenda mtu yeye mwenyewe tu ni sehemu ndogo ya mapenzi na sehemu zilobakia zinajazwa na mapenzi kwa past yake, future yake, wazee wake, kabila lake n.k
nafikiri wanauchukuia vizuri ule msemo "no man is an island" kwa hiyo kumpenda yeye tu hakutoshi, mkiwa pamoja itabidi ukabiliane na past, future, wazee, na kabila lake.
Lets be serious. Huyu sio wa kupewa pole. Wewe ni mchafuzi tu, kumpotezea binti wa watu muda. Love is not selfish, love does not ask why... kabila, hali ya maisha...samahani lakini kaka inaonyesha jinsi ulivyo na narrow-mindedness.
Nilidhani hii ni forum for Great Thinkers!
I find it very difficult to comment on this since i dont know a lot of things that you have deliberately decided not to disclose, however i find some elements of sincerity in your post, i think there are some serious issues that led to that decision.All the best in finding your soul mate. As for her, i believe she will be ok, we have all been hurt at some point, and i think thats maturity in lovelife, it prepares you to overcome storms in marriage.
... ukipenda boga penda na ua lake. unfortunately ua sikulipenda so sikuwa na sababu ya kulichukua boga. au ningechuma boga na kunyofoa ua kisha kulitupa?
No comment !.
sikuipenda familia yake
.
sikuyapenda maisha yake ya awali.
.
sikupenda anapoishi. sikulipenda kabila lake. nilimpenda yeye tu! ningetamani kuwa nae lakini ndoa ni mfumo. unahusisha koo mbili na zaidi na kuzifanya familia. yaweza kuwa ni ya kutunga ama ni kweli, lakini mapenzi ni nini? usitake kujua undani zaidi ila yatafakari haya kwa sasa.
Penye ukweli uongo hujitenga kaka, kwa kauli hiyo wewe hukupenda ila ulikuwa unampotezea mwenzio muda na kuexploit feelings zake. As hatumjui and no oneknows her side of the story. May be she wishes the same, mey be umeabuse penzi na hisia zake.
sijajua nikuite dogo au nani (jinsia). nitakuunganishia basi. nilikosea