Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,261
- Thread starter
-
- #21
Ukilipenda Boga, penda na Majani yake!
In any way, yeye yuko attached na kwao, ndugu zake, kabila lake, na kila kitokacho kwao, so sio rahisi akakubali ukampenda yeye tu, na kuidharau lineage yake...huh!
Hayo ni mapenzi ya KUWAKA TAMAA ZAIDI, KULIKO mapenzi ya moyoni!
Usimpotezee muda mtoto wa wengine babaake!
Serious bra Kingi hata mimi nawashangaa wanaolaumu kwa sababu ya wewe kuweka ukweli wa mambo kwa lengo la kusaidiwa kimawazo. Lakini kubaliana na yote kwani ndio unapata varieties za watu na mawazo yao. Ni nzuri kupata changamoto hizi lakini simamia pale unapoamini ni sahihi.Wapendwa mnaweza kupaka sana ila mwisho wa siku hali halisi naijua mm. Hakuna majigambo. Niwaulize: kwa nini ndoa nyingi zimevunjika au zina migogoro? Unajuaje kama uliye nae anakupenda? Watu huingia kwenye mahusiano kwa sababu zao na zikishachuja ndo matatizo huanza. Sasa mi kuliona hili na kulipangua kisha kuliweka hadharani imekuwa tabu? Mapeni ni subjective, sio objective (mkitaka ufafanuzi zaidi nitatoa). Sidhani kama huwa mnapenda tu kwa vile kuna amri ya upendo. Mtu asinilaumu kwa kuwa wazi hivi maana kila mtu angekuwa wazi mngeshangaa. Enyi mnaolaumu fikirieni tena.
lakini mapenzi ni nini? .
wewe husitufundishe kuwa serious bwana, tuko serious ndio maana tuko hapa kwa miaka sasa, wewe umekuja jana unataka kuleta mizenguo.Lets be serious. Huyu sio wa kupewa pole. Wewe ni mchafuzi tu, kumpotezea binti wa watu muda. Love is not selfish, love does not ask why... kabila, hali ya maisha...samahani lakini kaka inaonyesha jinsi ulivyo na narrow-mindedness.
Nilidhani hii ni forum for Great Thinkers!
ndugu che guevera, ni kweli kama ulivyoandika hapa kwani huyu binti ameanza hadi kuwaza mambo mengi sana baina yetu mpaka najisikia vibaya. Kama ulivyosema kuhusu kutake action mapema najitahidi kwanza ikiwa ni pamoja na kutofanya chochote na yeye hasa mapenzi nataka niweke heshima kubwa sana kati yetu kwani sitaki kuingia naye kwenye mambo mengine aone kwamba nilitaka kumtumia tu then nimkimbie. Asante kwa ushauri wako bra CGIliwahi kunikuta hiyo ya kupendwa na demu kuliko nilivyompenda yeye (mara nyingi hiyo unakuja ku-realize that later on). Yeah huwa ni bonge la dilemma, hasa jinsi ya kuterminate hiyo relationship as amicably as possible.
Unakuta demu anaanza ku-dream aloud about your future together as a family. Hiyo ndiyo itakuchanganya kabisa.
Think hard about what YOU want, and take action sooner rather than later.
You can see haya ni mambo amabyo yapo na mimi sidhani kama kuna mtu anapanga itokee ila inatokea pasipo kujua. Gender Sensitive itabidi uiweke hapa ili tujue kama unahitaji ushauri wa jinsi gani and it will be a lesson to othersDaa umenigusa...inafanana na stori yangu!
Kweli Pretty, asante, i didnt know before mpaka yametokea ndio nimejua consequences zake, so far am not heart breaker kwahiyo najisikia vibaya...Wewe Sipo hebu achana na mambo ya kutafuta mwanamke online, tafuta mwanamke live umuone na kupenda tabia zake then muelewane.Haya mambo ya kutafuta mtu online ni wizi mtupu, at the end of the day ndio yanakuja hayo uliyoyasema hapo juu kwamba hujisikii kumpenda.
Ni kweli KingiHope, sipo tuko na wengine pamoja katika hili. Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Waweza sema nitafanya hivi ila inakuwa kinyume chake. As long as we live, ukamilifu haupo
Theodora;Lets be serious. Huyu sio wa kupewa pole. Wewe ni mchafuzi tu, kumpotezea binti wa watu muda. Love is not selfish, love does not ask why... kabila, hali ya maisha...samahani lakini kaka inaonyesha jinsi ulivyo na narrow-mindedness.
Nilidhani hii ni forum for Great Thinkers!
Hope, sipo tuko na wengine pamoja katika hili. Ni rahisi kusema kuliko kutenda. Waweza sema nitafanya hivi ila inakuwa kinyume chake. As long as we live, ukamilifu haupo
actually i like your guts, coz i believe in discussions and open minds!!! I am glad you have put it the way did but mind you that our forum has different people with different background more so with different level of understanding, yet great in thinkingDe Novo... I like your poetry lakini nimeongea candid truth, I did not miss the bus...labda mi ndio dereva. Lkn lazima tuwe realistic, na wakati mwingine unaweza kuona ni harsh lakini inasaidia... Kuna baadhi za tabia ndo zinawapa men a bad name or even women.
Soma kwa makini what has been put forward na mwenzetu... imenisikitisha sana. Familia, kabila, anakokaa nk. Mbona alianza hata kutoka nae if it seems it was against all odds(because the only complement ametoa ni kwa alimpenda huyo binti tu - not what she represented!)
De Novo hate my guts but I speak what is from my heart maana imenigusa.
Shairi zuri sana DN hadi nimekutwanga na thanks mdau wa JFTheodora;
Great thinkers dont judge
great thinkers dont accuse
great thinkers think!
Great thinkers understand
Great thinkers advice
Great thinkers help
great thinkers are JF members
If think we are not, then congrats...
You could be a great sinker
i say this simply because you have missed the bus
i remember once my bro bluray told me
you have to approach and understand
My advice to you
rather than criticising the forum or mtoa mada
tusaidie na sisi kuwa great thinker kama wewe theodora!!!
A great thinker help other, transfer you qualities and skills rather than keeping to your self
Nakuunga mkono, as long as we live ukamilifu haupo.
Vipi wewe wataka wenzio awe mkamilifu? kama ulivyosema ulimpenda yeye, unamwacha ungali unampenda kwa sababu ya mapungufu aliyonayo i.e maisha yake ya nyuma, anapoishi na familia yake. labda huyo uliyemuacha ana hayo mambo hakusema kwamba atakuwa hivyo, labda yametokea in the course of living
Iweje useme yale usiyoyatenda?