Mimi nishasema sitoi hata senti tano kwa wahanga au michango ya kuomba omba ya serikali hii ambayo kila kukisha wanapiga vita civil liberties zetu za kuongea na kutoa mawazo.
Mwezi mmoja tuu wa 8 walitumia zaidi ya Billion 20 kwenye propaganda za kuziak ukase na babe kwa akina Tindu lissu
sasa iweje leo washindwe kutoa pesa za kusaidia wahanga?
Pesa za dharura wanazo sasa ya nini kuwabana wananchi ambao wanalipa kodi za kila namna?
kama wakisosa pesa bas wasamehe mishahara yao kuanzia Magufuli mpaka madiwani wake bila kusahau pesa za Mwenge kuwasaidia wahanga wa Bukoba na Kagera
lakini mimi suntan yangu hawapati na sishauri mtu atoe pesa zake wala kushiriki kwenye haya mambo ya kuchangishwa mapesa kama maandamano na matamasha
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.