I wish I had a husband already

Maneno mujarab haya kutoka kwa Mrs Duke, hajajua kuwa watu wafupi kwa kimo ni warefu kwa ndani (tuna DNA za watoto warefu) na ndio waoaji.
Atuombe sisi maandunje radhi kwa maana hakuna binadamu ambae hajaenda hewani.
mependa hapo kwenye bold hahaha

Ni kweli, anaposema anapata wafupi tu hawataki anataka warefu anakosoa hata uumbaji wa Mungu ajue vigezo muhim yawezekana hata huyo mume mwenyewe alishakutana naye lakini alivyo too picky akamkosa ila shahada mara tatu asikate tamaa atapata aombe Mungu
 
unahitaji mrefu kwenda juu au chini? ili tujue
 
Hahaha mimi namshauri asitishe maombi ya KUTAFUTA na aanze maombi ya SHUKRANI kwa maana tayari "future husband wake" niko hapa nikikamilisha kigezo cha kwenda hewani.
 
Tafuta maandunje wewe,wanajua mapenzi,wanawivu na wavumilivu ilaaaa ni wabishi hatari.....hawakubari kushindwa kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…