I wish I had a husband already

Huyu uliyempata hapa ndo mshatibuana?
 
Hayo mengine sawa ila hilo la kotoa mzigo anytime ninapotaka[emoji12][emoji12][emoji12] kwa wadada wa leo hapana aisee
 
Nitakuwa ni mimi nini maana hizi mambo ndiyo huwa napenda kufanyiwa. Hasa mnuso.
 
Mungu na akupe haja za moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…