Daah pole sana aisee,ndoa Ni taasisi na pia Ni sakramenti..Ndoa inahitaji mtu mwenye authority, akili nyingi+uzoefu. Kuna wakati vijana maplayers wanakuwa vzr kwa sababu wana uzoefu na hawa viumbe. Mwambie brother ameokoka Ila yeye sio Yesu, apige ibada Ila achanganye na akili za kawaida. Usiombe ifike stage Mwanamke akuone boya/ndezi.