I will never understand marriage!

Siriaz baba yaani tafuta mngoni atakuambia oooh Mimi nayajua we Fanya kutafuta alafu anzakuongea hata kama ndio Mara ya 1 mnaonana
Hahaha Nawaelewa Sana Mkuu.
Nimesoma Songea.
Yani Mama Ntilie Unampa Elfu Kumi Harudishi Chenji Anakuambia Baba Nitakupa Tu Subiri,Ukidhani Atakupa Ela Kumbe Anamaaniisha Vingine Kabisaa.
 
Mhhh nachelea kuamini mke pekee ndo ana Tatizo hapa,ur bro sijui hatujasikia his side of the story au hasimamishi??mwanaume rijali kweli usilale na girlfriend na badae mkeo,SOMETHING VERYYYYY FISHY HERE,solee
 
Mhhh nachelea kuamini mke pekee ndo ana Tatizo hapa,ur bro sijui hatujasikia his side of the story au hasimamishi??mwanaume rijali kweli usilale na girlfriend na badae mkeo,SOMETHING VERYYYYY FISHY HERE,solee
I Could Not Ask. Very Fishy Indeed. Natamani Nimuulize Ila Ni Kuibua Yaliyozikwa.
Maybe Ulokole Ulipelekea Hayo..
I Just Have No I Idea.
 
I Could Not Ask. Very Fishy Indeed. Natamani Nimuulize Ila Ni Kuibua Yaliyozikwa.
Maybe Ulokole Ulipelekea Hayo..
I Just Have No I Idea.
Poleh sana kwake, japo ni makosa mbele za Mungu ila shake well before use Ina umuhimu wake pia
 
walosema ndoa uwanja wa vita hawakukosea. ni wachache wanaofaidi ndoa na kujutia y hawakuoa mapema. bt wengi wetu tunajuta kuolewa and vs. shida ni kwamba kila mtu hutamani hii special event bila kujua yaliyomo ndani. my advice USIVUMILIE TABIA YEYOTE YA MPENZ NA KUJIPA MOYO ATAKUJA KUACHA MKIOANA INAKUA VS YANI NA ZILE ZILIZOFICHIKA NDO ZINAONEKANA. OL IN OL MUNGU NDO KILA KITU KUKUONGOZA KTK HILI. TATIZO HARAKA ZETU YANI UJANA MAJI YA MOTO YAKIJA KUPOA INAKUA TOO LATE!!!
 
Pole Mama Naona You Can Relate..
 
Poleh sana kwake, japo ni makosa mbele za Mungu ila shake well before use Ina umuhimu wake pia
And Im Shaking Them Very Well Yani Mpaka Sometimes Nafungua Chupa Nionje Nisije Kuuziwa Maji Kwenye Chupa Ya Sprite.
 
Mimi uniambie unaenda kugongwa, ukitia miguu kwangu naivunja, baki huko huko.
Bro alishindwa kumtumbua jipu mapema
 
And Im Shaking Them Very Well Yani Mpaka Sometimes Nafungua Chupa Nionje Nisije Kuuziwa Maji Kwenye Chupa Ya Sprite.
Hahahah usipanie sanaa bro kuna ukimwi, always protect urself
 
Mkuu
juan moses
Pole sana sana
Ila i have one concern.
1.Umesema cheti cha ndoa hakikusainiwa...nijuavyo mimi mnapoenda kanisani Cheti kinakuwa kwa Padre/mchungaji hakijasainiwa,akishamaliza kufungisha anawaita wanandoa na mashahidi kwa ajili ya Kusaini...sasa ni Muda gani ambao hakusaini?
ndoa hufungwa then ndo mnaitwa kwa Ajili ya kuweka wino mbele
2.Kaka yako inatakiwa nowdays umwambie Either Mjomba wako Au Baba yako,nowdays hakuna usiri...hata kama ana matatizo ya kiume/Uume kwa njia yoyote Ile Baba Mzazi kama yupo anaweza saidia sana hii kitu...Tena siku hizi Mama mzazi ndo wahisika wakuu,ndo maana Mama mzazi anapozaa Mtoto wa Kiume,anategemmea sana baada ya Harusi ajiridhishe kuwa Kweli alikitunza/kiangalia Kitovu cha mtoto wake wa Kiume ipasavyo..yaani hakikudondokea Uume...hivyo kuepusha matatizo ya Uume...Talk to your Mum....Vijana wengi wa Kiume tupo..na mimi nikiwa Mmojawapo karibu sana na kina mama zetu.
Ahsante Mkuu
Ila Swai no.1 MUHIMU SANA ULITOLEE MAELEZO YA KUELEWEKA.
 
Tatizo la vijana wengi wa kilokole ni hili, utakuta kijana kaona demu/kahaba na kampenda atalazimisha kumuoa wishing kwamba atakuja badilika na waishi maisha mazuri. Penzi halitakiwi kulikurupukia.
Haya mambo ya triangle haya nyumbani shule kanisani haya matatizo yake ndio haya bora four angle kijiwe kinakusaidia kubumbuluka mapemaaa.
 
Hujajibu maswali mengine...
 
Nikifikisha 45 ndo nitaanza kuwaza kuoa staki stress na watoto watakua wamesha kua.
Uyo bro wako atakua ana pande 2 dhu! Maana.
 
Aiseee nimeumia kama ndio mie huyo brother wako but marriage iko poa sana
 
Mkuu Tbh Sielewi Kilitokea Nini Maana Nilichoambiwa Nikua Cheti Hakikuwepo Siku Ya Harusi Na Hawakusaini Cheti. Na Wakakubaliana Baada Ya Siku Moja Waende Kusaini. Harusi Ilifungwa Juma1 Juma3 Ilibidi Wakasaini Ila Ikashindikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…