I will never understand marriage!

Apeleke case yake kanisani ataweza kudivorce. Ndoa kanisani zinavunjwa km mmojawapo mzinzi.
Halafu akae pembeni aangalie Mungu atakachomfanyia huyo bidada, karma is a bitch!
 
Apeleke case yake kanisani ataweza kudivorce. Ndoa kanisani zinavunjwa km mmojawapo mzinzi.
Halafu akae pembeni aangalie Mungu atakachomfanyia huyo bidada, karma is a bitch!
Ilikwisha Vunjwa Dear.
 
It's very sad but some times shit doesn't pan out as we plan, it gets bitter before its better but there seems to be more of the story not that u know of. What happens between four walls and two hearts bwana, acha tu! But it doesn't mean that all marriages are like that, pray,look,listen, feel with ur heart n mind for that special one maana safari ni ndefu!
 
Tatizo la vijana wengi wa kilokole ni hili, utakuta kijana kaona demu/kahaba na kampenda atalazimisha kumuoa wishing kwamba atakuja badilika na waishi maisha mazuri. Penzi halitakiwi kulikurupukia.
 
Umesema bro wako alikuwa anaingiza wasichana tofauti tofauti..cku alipo mleta huyu mkewe ndo akakuita umsalimie...halafu unasema bro hakuwa playboy??!! Tena ni mlokole. LAKINI hii issue ya kupotea cheti cha ndoa hujaiweka sawa utafanya watu washauri ndivyo sivyo, nnavojua mimi baada ya ndoa mnasaini cheti chenu hapohapo kanisani na mnapewa kikichomolewa kutoka katika kitabu chake. JE walipewa kikapotea wkt wa sherehe? Au kilishaandikwa hivo mchungaji akapoteza then wakatakiwa warudi wakasign kingine?? Hebu weka sawa vitu ingawa umechanganyikiwa. Tulia umsaidie bro na wewe Mungu atakusaidia utapata wako. Tumia na hekima yako aliyokupa Mungu
 
Cheat and mistreat a gud man and karma makes sure u get the bitch u deserve!
Ila jamani u cant change a whore to housewife!
Msaidie bro wako mvunje hiyo ndoa na kuwa nae karibu cz ni situation ya kuumiza sana
 
Wangoni ndio tabia yao
#kuna mngoni mmoja tulikuwa naye Xul anasema anaweza kumiliki boyz hata 5 per 1
Wengine wako kitaa huku duh! Story ni zile zile
 
Wangoni ndio tabia yao
#kuna mngoni mmoja tulikuwa naye Xul anasema anaweza kumiliki boyz hata 5 per 1
Wengine wako kitaa huku duh! Story ni zile zile
Kweli Mkuu?
 
Cheat and mistreat a gud man and karma makes sure u get the bitch u deserve!
Ila jamani u cant change a whore to housewife!
Msaidie bro wako mvunje hiyo ndoa na kuwa nae karibu cz ni situation ya kuumiza sana
What Goes Around Comes Around..
 
Tatizo la vijana wengi wa kilokole ni hili, utakuta kijana kaona demu/kahaba na kampenda atalazimisha kumuoa wishing kwamba atakuja badilika na waishi maisha mazuri. Penzi halitakiwi kulikurupukia.
Maybe.Namimi Nahisi The Reason Behind This Ni Ilo Suala La Kutaka Kumbadili Kunguru Kuwa Njiwa.
 
Hapana Mkuu Sio Kwamba Alikua Akiingiza Wasichana Tofauti Nnachomaanisha Ni Kuwa Katika Wanawake Nlioona Au Kuhisi Anadate Nao Sikuwahi Kutambulishwa Pia Haimaanishi Alikua Player, NO. Nnamaanisha Alifika Bei Kwa Huyu Binti Mpaka Kumleta Home Na Kumtambulisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…