Ila X pamoja na kumuachia Z bado walikuwepo viranja wasaidizi wake ambao bado wana mbinu na mkubaliko mkuu ndani ya shule ingawa hawana madaraka sasa.
Mmoja majuzi kapiga chafya tuu, basi Z na wasaidizi wake wamepata wao mafua na kuharisha hovyo.
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic