Ila Magufuli alibugi sana kujiita JIWE.Ona sasa tumesahau kabisa jina lake na mtazamo wa hilo neno JIWE kwa watu ni tofauti kabisa na yeye alivyochukuliaNimekupata Vizuri sana.
X-Jakaya Kikwete
Y-Paul Kagame
Z-JIWE
Jamani Cole mbona sijawahi kukuona kule Au ulikuja na mask nikashindwa kukutambua?
Hahahaha Sure Mkuu JPM ni Kilaza wa Kiwango cha SGR.Ila Magufuli alibugi sana kujiita JIWE.Ona sasa tumesahau kabisa jina lake na mtazamo wa hilo neno JIWE kwa watu ni tofauti kabisa na yeye alivyochukulia
Uzuri kiranja Z1 hana muda na Kiranja Y, ila ingekuwa vinginevyo wangeshamuwinda YBack to square one,
Sasa tuna Kiranja Z1 amerudi kwa kasi na principles za X
Wakati huo huo Z hatunae, R.I.P.
Najaribu kumpatia picha kiranja Y
Bila shaka hujui hua Kuna kuwindwa pia [emoji1][emoji1]Uzuri kiranja Z1 hana muda na Kiranja Y, ila ingekuwa vinginevyo wangeshamuwinda Y
x anaumia mno, ndio maana aliblock barabara ya kupitia uganda, sasaivi amefungua kwasababu ni landlocked na anajua kuwa akipigwa za uso huku kwa m7 atakuwa ameshaharibu hatakuwa akipita kwenda kenya, atabaki kisiwa ambacho mlango pekee ni DR congo. pia, ile kuingi amkataba na Burundi kujenga SGR kwenda congo kupitia burundi ameshajua sisi tumeona yeywe sio wa muhimu kiviiile. tunaweza kupita sehemu nyingine akituzingua. alitesa sana madereva wetu, akawatoza sana pesa kwasababu hatukuwa na namna na aliyepita alimlea sana bila faida yeyote. chinjilia mbali mnyonya damu yule.Sidhani kama X anaumia sana maana yeye mwenyewe ndiye aliyemshauri Z kuwa si vyema kurithi adui au rafiki wa mtu!
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic
kiranja Z1 kaishapiga uturn kitamboUzuri kiranja Z1 hana muda na Kiranja Y, ila ingekuwa vinginevyo wangeshamuwinda Y
Maskini Z hata hiyo pension yenyewe hakuweza kuilaIla X pamoja na kumuachia Z bado walikuwepo viranja wasaidizi wake ambao bado wana mbinu na mkubaliko mkuu ndani ya shule ingawa hawana madaraka sasa.
Mmoja majuzi kapiga chafya tuu, basi Z na wasaidizi wake wamepata wao mafua na kuharisha hovyo.
Kweli Y huko aliko anachekelea, lakini kamponza Z maana anakwenda hovyo kiasi itamuwia vigumu kupata miaka mingine mitano. Ndio anaweza kulazimisha, lakini asipoangalia pension anaweza kuilia kule aliko Sloban Milosivic
Yetu macho, wacha tuone Y atakuja na fimbo gani ya kumchapia Xkiranja Z1 kaishapiga uturn kitambo
Anafata maelekezo ya kiranja X
Kiranja Y lazima atulie,kimya kaufyata..
Mungu amuweke anapostahili kiranja Z
Jakaya alimtumia ujumbe kagame kuwa ajaribu amuoneshe cha mtema kuniHabari jukwaani,
Tutaenda kwa codes ili tusiharibu thread,
Kulikuwa na viranja fulani Wa shule mbili tofauti,kiranja shule x na yule shule y.
Ilitokea kiranja shule y alikuwa na mgogoro na wanafunzi wake kuhusu mambo Fulani Fulani,ukawa mgogoro mkubwa sana,sasa bahati huyu x shule yake kubwa,akaja kupata nafasi ya kuulizwa namna angewezaje kutatua mgogoro ule"ushauri".
Kiranja shule x akashauri huyu Wa y wakae meza 1 na wamalize tofauti zao,bahati mbaya huyu Wa y hakuupenda ule ushauri ,kilichotokea baada ya hapo Nikutupishiana maneno tuuu.
Siku1 kiranja y akiwa na wanafunzi wenzake,Wanaomaliza aka graduates alisema huu msemo akimwambia x,"there are lines can't be can't be crossed "
Akaenda mbali zaidi na kusema
"I will find the right time& I will hit
him"
Kiranja x alikuwa anamaliza shule akiwa mbeleni mwa y,kwa hiyo wakati anatoka akakabidhi kwa kiranja mwingine aliefata,kiranja z.
Z alivyoingia akawa rafiki mkubwa sana ya y,tofauti ilivyotegemewa.
Z akanogewa na y,kiasi kwamba anammwagia sifa hadharani y,kuliko hata yule x aliempendekeza.
Z akabadili mifumo mingi ya uendeshaji shule,mingi akiigiza kutoka kwa y,hata namna ya kuongoza,kufikiri,kupambana na wanampinga,akawa typical kama y.
Huu msemo Wa "I will find the Right time & I Will hit him" hatuoni kama umetimia,maana huko nje x lazima anaugulia vibaya akimsikia z anavyomsifia y,anavyopitia kote y alipopitia.
Kiranja Y hawezi fanya kitu tena,Kiranja Z1 yuko na X, tofauti na Alivyokuwa kiranja Z..Yetu macho, wacha tuone Y atakuja na fimbo gani ya kumchapia X
Mkuu decrypt kwanza codesJakaya alimtumia ujumbe kagame kuwa ajaribu amuoneshe cha mtema kuni
Bonyeza*149*59# kupata kichekesho hiki.Jakaya alimtumia ujumbe kagame kuwa ajaribu amuoneshe cha mtema kuni
Operation kimbunga itaendelea kumjeruhi yNimekupata Vizuri sana.
X-Jakaya Kikwete
Y-Paul Kagame
Z-JIWE
Thubutu,amjaribu Z1 aoneKiranja Y western trainee...
Hakuna benefit yoyote atapata kwa sasa alichokua anakitaka kilishafanikiwa..Thubutu,amjaribu Z1 aone
Sasa X na Z1 kitu kimoja