Ungetuambia na pesa uliyo nayo mkuu hapa unaweza ambiwa kitu usichoweza afford Kuna desktop kibao zinazoweza kufanya hii kazi inategemeana na mkwanja ulio nao.

Ndugu kama unafanya 3D I bet huwezi Sema 3D design,
What is 3D design by then.
Be more specific unafanya what n what, Mana ukiangalia mabadiliko yanayofanywa now ktk 3d industry ni makubwa sana
I jus wanna know what kind of 3d tech you rely on bro.