I wanna date ila kumpata type yangu ndo shughuli yenyewe

I wanna date ila kumpata type yangu ndo shughuli yenyewe

Ni Me lakini naona ametumia avatar ya kike plus huo uandishi wake na ma emoji ya makopa na makiss Mara nyingi tushazoea nyie mkiyatumia ila huyu ndo hapo alipochanganya watu

Kuna tatizo hapa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
Hyo avatar mwanaume tena sjui ndo yeye, iangalie vzuri. Nadhani tatizo limeanzia hapo
 
Visacard

Kwa huo mstari wa pili tu unaonekana hueleweki,mkishaanza anipende nilivyo ujue kuna shughuli hapo
 
Kwa hiyo you wanna dating wa kiume au wa kike?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nahisi ni yule Ray Baby kaja na ID mpya
Ni Me lakini naona ametumia avatar ya kike plus huo uandishi wake na ma emoji ya makopa na makiss Mara nyingi tushazoea nyie mkiyatumia ila huyu ndo hapo alipochanganya watu

Kuna tatizo hapa ..

Sent using Jamii Forums mobile app
https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/1250905/
 
Back
Top Bottom