I wanna date ila kumpata type yangu ndo shughuli yenyewe

Visacard

JF-Expert Member
May 12, 2017
233
215
I wanna date with someone amaizing.

Anipende nilivyo nimpende alivyo.

For dating real love shida na raha makopakopa matamu ya huba.

But issue ni kumpata type yangu mie tunayeendana raha ya mapenzi upate mnayendana ata just a little bit.

Naamini nitapata tu.Ila jamani mimi sio sponsor nop kwamba nina pesa nop ninawazaga kumpenda mtu normal kama mimi sio tuma na ya kutolea tena? yaani mwenyewe nipende pesa kwa hiyo system nawe upende nop. Just fair jamani.

Hivyo ndo natamanigi just vision tu I wish one day omg!!!!!!hatojuta maana i will give good good kama yotee.

I wish kupata huyo msichana humu

I need a serious girl

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I wanna date with someone amaizing

Anipende nilivyo nimpende alivyo

For dating real love shida na raha makopakopa matamu ya huba

But issue ni kumpata type yangu mie tunayeendana raha ya mapenzi upate mnayendana ata just a little bit

Naamini nitapata tu.Ila jamani mimi sio sponsor nop kwamba nina pesa nop ninawazaga kumpenda mtu normal kama mimi sio tuma na ya kutolea tena???yaani mwenyewe nipende pesa kwa hiyo system nawe upende nop...Just fair jamani

Hivyo ndo natamanigi just vision tu I wish one day omg!!!!!!hatojuta maana i will give good good kama yotee

I wish!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Chura ipo? (In Behaviourist voice)

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo yule uliyempishana nae njiani ukamdharau
Vipi kwa mparange unaenda?? Kama yes here I am! Je unaweza vumilia mambao wen we have sex , 2hrs non stop? Mana pia kwenye boxer nina mguu wa mtoto
Acha kujishaua unapishana watu sahihi kila siku hujijui tuu wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
kama wewe ni wife material nambie nije fasita
Mapenzi siku hizi yamekua adimu kama wadada wasio na shape.


Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan mtoa uzi ni ME ni KE? Mbona sielewi
Mleta mada ni Aina ya kina James Delicious Anahitaji msaada wa haraka sana na karibu
 
Back
Top Bottom