Masifa yako ndio yamenifanya nijue kabila lako. Na kwavile umesema Mama yako ni Mwafrika, to be more specific Mtanzania, nikajua tu hawezi kuwa kabila lingine isipokuwa hilo. Kwani uongo? Usikane kabila lako. Nanyi ni watu tu kama wengine ila tunatofautiana tabia tu, mojawapo ikiwa ndio hiyo.Kwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016![/
Aliyekuambia Mimi Mujaya nani .unaprofile watu tu,kwani wahaya sio watu .
Kwa hiyo wewe unayeandika namna hii ndio una nini, University Transcript ama? Kama unayo basi itakuwa ya OUT. Mwenzio alipikwa pale Harvard Law School, wee kazana na misifa yako ya Kihaya aliyokurithisha Mama yako na endelea kupumbazwa na huyo mumeo kaburu by the time akili inakurudia utakuta Commander-In-Chief Barack Obama akipanda Air Force One kutoka Chicago kurudi White House kula kiapo kingine cha kuongoza nchi hadi 2016![/
Aliyekuambia Mimi Mujaya nani .unaprofile watu tu,kwani wahaya sio watu .
Unaona unavyoprofile watu .wala so Muhaya Mimi,na kwani wahaya ndio wanawazungu .mzungu ni mtu Kama Wewe hamna tofauti
Baba Angu mzungu mama Angu mwaafrica .mume wangu muzungu watoto wangu interracial.Obama Hana hata college transcpript .well Romney is the next president yaani I can't wait .Obama its time to pack and look for a pundit job
Obama what have he done In Africa .Bush republican gave 100 million dollar for AIDS Kama hazikufika kwa wananchi sorry .where is ghadaffi. Ghadafi was once Chairman of African countries .Obama hata hapo Kenya hajaenda .wewe immigrantt wangapi wana afford car insurance Leo hii Obama care ni lazima uwe na health insurance AMA IRS na Wewe.obama ni sawa na waafrica Wengi wanaosahau nchi zao wakiwa juu.koffi Annan Amefanya nini africa.mama migiro amekusaidia nini.Tanzania ni nchi ya kimaskini tunategemea uchumi wa USA ku survive .wazazi wangu wanauwezo siwatumii pesa ,ila Nina mama zangu wadogo marafiki NA majirani ambao nikienda western union hiyo exchange rate inatisha.nawacheki washikaji zangu waliokwama bongo .mshahara Tanzania kimambi cha chini may be dollar 100 kwa mwezi,hapo mtu hajala rent somesha mtoto.Tuwakumbuke wenzetu
Kwanza hueleweki sijui ni lugha gani unaiweza?! Pili, hivi unadhani Obama ni Mkenya, au ni Rais wa Kenya? Yaani unawaza Obama ataifanyia nini Afrika as if Africa ni koloni la Marekani? Kwani hakuna marais Afrika? Kibaki anafanya nini pale Ikulu kama unataka Obama awaze namna ya kuwasaidia Kenya? BTW: Kuna urafiki gani kati ya Tajiri na Maskini? Unadhani hivyo vidola 100m/= vya Bush aligawa kama sadaka? Kwa utajiri upi alionao? Umesahau Bush alivyokuwa anajikomba Tz akaja kidogo akate wiki nzima Tz? Unadhani alikuja kuchekacheka kama M.k.w.e.r.e anavyoenda kuchekacheka na kupandishwa matoroli ya farasi ughaibuni? Wazungu wako serious, they fool us with $100m/= they take all our minerals, gas, land and other resources. Halafu kuna stupid Africans kama wewe wanashangilia. Shame on you!
What's tantalizing me is that Republicans keep saying Gov doesn't create jobs..
Then why you blame obama if obama didn't..
Natalia, nakuonea huruma. Maana nahisi uko bendera fuata upepo. Absolutely no idea whatsoever the United States is going through.
But Obama will win. Not because he is black (mixed) no.. Because he dared challenges and Congress the Republicans have been always make this statement make him as one term president. And they never worked with him.
Mungu hamuachi mjaa wake

Nashukuru kumsema hilo limaskini la maqzona hela. Kujiona uko juu eti uko ulaya. Kwa taarifa yako nami niko hukohuko ulipo. Penda kwenu.
The poor will be poor and richer will be richer,I'm a republican and I approve this messageWatu kama hawa wako wengi sana us, mtu anakomaa na misifa mungu us lakini anasahau nchi yake, mie niko huku nasoma lakini lazima nirudi home niijenge nchi yangu hata kwa kufyatua tofari, wajinga ni wengi sana huku wanaojifia kama wewe, by the way wamarekani ni wabaguzi na wasengenyaji wakubwa sema tu sheria ndo wanazo kali zinawabana, vinginevyo wangekuwa wanatutemea mate mchana kweupe.
Mimi sio muhaya trust me kwa nini nikidanganye?labda Nina sifa kwa sababu I'm happy with my life and stress free.i have rich parents and a rich husband ,proud to be a republicanMasifa yako ndio yamenifanya nijue kabila lako. Na kwavile umesema Mama yako ni Mwafrika, to be more specific Mtanzania, nikajua tu hawezi kuwa kabila lingine isipokuwa hilo. Kwani uongo? Usikane kabila lako. Nanyi ni watu tu kama wengine ila tunatofautiana tabia tu, mojawapo ikiwa ndio hiyo.
I benefit from Romneys policies .God, you said it right. Actually am so appalled with her comments that she thinks obama didn't do anything. And her parents are Republicans so do her. What a heck!
Am uncertainly if Natalia is an American born and raised in American.I don't think so.
Your mind content is piece of stuff.
Huna lolote wewe ni mganga njaa tu kama sisi au ulienda huko kama Housegirl baada ya mke kufariki ukakaba nafasi! Sasa kama mume wako ni tajiri, mbona ulikuwa unalalamikia Obama Care kuwa inamfanya mmeo ashindwe kuwalipia wafanyakazi wake 10 tu na hata kulazimika kuanza kufikiria kufunga biashara? Huyo ndio tajiri kwa vigezo vya Marekani kweli? Wahaya bwana, si ajabu uko Mwananyamala kwa Mama Zacharia tu hapa, kwaheri!Mimi sio muhaya trust me kwa nini nikidanganye?labda Nina sifa kwa sababu I'm happy with my life and stress free.i have rich parents and a rich husband ,proud to be a republican
Jamani I'm a proud republican is that a problem
Huyu lazima kaolewa na muzungu analinda ndoa tu.
Huna lolote wewe ni mganga njaa tu kama sisi au ulienda huko kama Housegirl baada ya mke kufariki ukakaba nafasi! Sasa kama mume wako ni tajiri, mbona ulikuwa unalalamikia Obama Care kuwa inamfanya mmeo ashindwe kuwalipia wafanyakazi wake 10 tu na hata kulazimika kuanza kufikiria kufunga biashara? Huyo ndio tajiri kwa vigezo vya Marekani kweli? Wahaya bwana, si ajabu uko Mwananyamala
To be rich you have to save no spending .chezea mtoto wa fisadi
Obama discourage and his policies hazieasaidii small business .mume wangu anabusiness na anawafanya kazi 60 .obama akishinda itabidi 10 waondoke profit ya business haitishelezi kulipia wote obamacare.business inayozidi more than 50 employee lazima wapatie watu Obama care .ni kufunga biashara au wafanyakazi wote wawe part time employees .5 million people wameongezeka kukusanya food stamp na ni tax payer money .hela ya tax inaishia kulipia watu rent hospitali nakadhalika.CEO wote karibia wametuma note if Obama wins layoffs .Gay marriage (I don't believe in gay marriage kwA kweli )hii pia imenifanya niwe more conservative .self reliance and can do mentality .free government staff zinafanya watu wawe lazy .look what democratic party have done to African Americans.Mtanzania anakuja Leo baada ya mwezi analipa kodi ya nyumba Ana. Gari na kibarua
So what's your point. You far better than home? And if above mentioned failed, what you doing? Take charge my friend.
Bush ndio Ali approve stimulus check akamwachia Obama pesa .Natalia, too bad you marriesd. I wanted to talk to you because writing isnt saving me better.
Look, wasn't obama sho saved GMs with tons of jobs? Wasn't Obama saved banks from collapsing after bush administration?
Wasn't obama gave tax breaks for small businesses and for every new hire? Wasn't Obama saved housing market that was at the verge of collapsing?
Wasn't obama who prompted health care for all. Unlikely Romney who wants to create voucher health programs and he still keep changing his pace on wherryhw truly stands.? Obama put into a law for credit cards to stop ripping people off, wasn't obama provided credit for first home buyers.... The list go on and on...!
What did Republicans do? Nothing than just halting obama getting on the way.
Did you know the rich in this country have been not paying taxes for years. Do you know who pays that tax its me and you. (i dnt know how much you making a year)
During bush administration the gap between rich and poor has widen exponentially. More riches created than middle classses.
Who shipped jobs offshore? Republicans. Romney got investment in china and he is talking about creating jobs? While he isn't patriotic enough with what he stands for and believing in.
Your husband is telling you whats happening. Its not about the quality of president Obama its about his race.
I have so much to say because you make me feel sad. You are very uniformed and what's worse its about color not character.
Mungu atambariki mr Obama and he will win. Because he deserves.
Aliwapa smallNatalia, too bad you marriesd. I wanted to talk to you because writing isnt saving me better.

I dnt understand if mtz comes here and not find jobs and pays rent listen, there are millions of Americans. Citizens of this country qho don't have a jobs too.
Nobody paid me nothing when i came here and its been 5 years bought my house and am single. Neema kwa Mungu