I took this charm from tanzania for protection | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I took this charm from tanzania for protection

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 22, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Ooh ma god
  kwa mnaoangalia televission ya emmenuel wako na ibada inaendelea mtumishi wa mungu akasema kuna mtu
  ana pete ameipata east africa njoo haraka na unapoendelea kusubiri usiku wa leo hiyo pete inakugeuka
  hata muda wa kuja tena church usiweze ametokea handsome mmoja akasema ameipata tanzania akaulizwa
  kwa nini akasema amepata kwa ajili ya protection akaambiwa sio kweli sema ukweli

  akadai alikutana na kimwana akampenda sanasana na kumgaramia mwisho wa siku akamtosa baada ya hapo
  akiwa anaendelea mtuimishi waa mungu akamwambia inatosha kaa pemben mpeleekeni naomba niongee nae
  jamani jamani je ndoa ngapi zimefungwa kwa nguuvu za mairizi jamani nahisi ndio maana kuna vituko
  kila siku kwenye maisha ya ndoa sababu ni umempataje mwenza wako nisiende mbali zaidi

  nahisi baada ya ulevi ni tanzania nomaaaaaaaaaaaaaaaaa
   
 2. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,272
  Likes Received: 5,635
  Trophy Points: 280
  Mtanzania mwingine kapata neema ya kuitwa akaambiwa unatatizo la watoto umekuwa na watoto watatu wanawake tofauti sasa ndoa yako ujawa wazi sasa umekujaa kuomba msaada akamwambia mtumishi wa mungu dont talk much sir dont talk
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nimeikosa leo monday live service tanesco wametugawia giza! ntasubiri rebroadcast alhamis au ijumaa
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,224
  Likes Received: 1,411
  Trophy Points: 280
  <br />
  <br />
  Tazama vizuri watu wengi unaokutana nao uone walivyojipamba kwa chale shingoni, kifuani, usoni na kwenye viungo vya mikono- nipe tafsiri yake.
   
 5. Ruge Opinion

  Ruge Opinion JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Mar 22, 2006
  Messages: 1,692
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 180
  I am disappointed kwa watu wanaojiita great thinkers kushabikia upuuzi huu. Supersititious rubbish. Pomoja na uelewa wote tulio nao kuhusu Wanaijeria bado mnaamini huyo ni 'mtumishi wa mungu'? No wonder we are what we are!!
   
Loading...