Habari wanajamvi wa lugha,nimekumbuka wakati niko o-level nasoma mwalimu wa Biology katika topic ya classidication(kwa walio soma Biology wanafahamu) alikuwa akiandika
phyla,sometimes
phylum.Mi mnikaona isiwe shida nikatumia logic,nikaangalia ubaoni kati ya
phyla na
phylum ni neno lipi limejitokeza mara nyingi.Then hilo ndiyo mimi nikawa nalitumia kwenye notice zangu za Bios until further notice.Do you think I was a fool?Continue reading.
Siku moja niko najisomea kitabu changu cha english grammar mambo ya singular and plural hasa for irregular verbs.Ndiyo nikagundua I was wrong not mwalimu wa Bios.
In english kuna maneno yanayotokana na kilatin au kigiriki
e.g
Singular plural how prural is formed
radius radii ....................(words ending with
us replace
us with
i)
phenomen
on Phenomen
a ............(words ending with
on replace
on with
a )
criteri
on criteri
a
agend
um agend
a...................(words ending with
um replace
um with
a )
phyl
um phyl
a
flagell
um flagell
a
memorand
um memorand
a
the list goes on....
Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "agenda
s" wakizani ni wingi wa neno aganda?
Je wewe ni mmoja wa wale ambao husema "criteria
s" wakizani ni wingi wa neno criteria?
Usione aibu let me know if you used to make those mistakes,if you confess people may help you.
Walimu:waelimisheni wanafunzi prior kuepuka misunderstanding
wana jf:mwombe mdogo wako kama anasoma biology angalia notice uone watoto wanavyokosea kuanzia kwenye notice,sijui necta itakuaje.
Nawasilisha