asante sana mkuu. Naamin mungu ni mwema siku zote. Nilikuwa na mwamini sana kwa kigezo cha ulokole. Lol kumbe yaliyomo sio kabisa.
Msamehe lol.
Usiende kufumania kama hauna maamuzi baba.
Yaani huwa nachoka ninapokutana na Swali la je niachane na huyu mtu au nimsamehe lol
Mwisho wa siku muamuzi ni moyo wako.
yaani hata sijamuelewa hilo swali lake; sasa naamini wanaume ni adimu kama theruji ya kiangazi. 2 options, zinakushinda. Huo moyo wako sisi tutaujulia wapi????????
Afanye maamuzi yake na aishi na matokeo ya maamuzi basi.
cc: Kongosho
Nakaribia kutangaza wanamme kama endangered specie
Yea, nafanya consultation ya maamuzi ya moyoni.
snowhite kuna business opportunity hapa.
We can expand into this grey area.
Ready to take the risk?
am into that also!Yea, nafanya consultation ya maamuzi ya moyoni.
snowhite kuna business opportunity hapa.
We can expand into this grey area.
Ready to take the risk?
am into that also!
shud i add that on the ads??
reaaaallly yummy!and the stove is on as u can see!:A S-fire1::A S-fire1: