I think I LOVE YOU!


uhhh mmmh mhhh you know Lizzy, its just that uhhhh you know......
Zile chocolate nlzokuletea ulizipenda uh dont bother...,
ok on serious note, am sorry nldhani siku zote unanichukulia kama rafiki ila unajua, unajua.....
Unakumbuka siku ya kwanza tumeonana? Nalikumbukaga lile gauni lako.....
Ok ok ok uh its ok kama unadhani umeanza kunipenda.
Mi sijawahi kuacha toka mara ya kwanza nlpokuona.
 

Hahahaha. . . Dr Love ndivyo anavyomwaga mistari hivi?

Haya kama unakumbuka kale kagauni niambie kalikua ka rangi gani?

Kama ulikua unanipenda toka mwanzo mbona hukuniambia? Kwanini uliishia 'kudhani' ???!
 
Hahahaha. . . Dr Love ndivyo anavyomwaga mistari hivi?

Haya kama unakumbuka kale kagauni niambie kalikua ka rangi gani?

Kama ulikua unanipenda toka mwanzo mbona hukuniambia? Kwanini uliishia 'kudhani' ???!

hapo nmejitahidi kweli, tena nashukuru umenisaidia....
Hahahahahaha
jamani kwani wewe umekasahau kale kagauni kako ka pinki kenye madoa doa meupe na meusi?

Macho yako yasingeweza kuniacha nitamke hayo maneno,
mara zote unaniangalia nahisi kama unaniona mpaka moyoni....
Lol....

Na wewe kwanini ni "unadhani" ?
 

Hahahaha basi kama hapo ndio ume'jitahidi' mbona kazi ipo!!Lolz

Hhhhmm wewe. . .pink, nyeupe na nyeusi juu? What do you think I am. . . a clown? Hehehehe. . . Lilikua la dark blue na vidoti vyeupe kwahiyo umekosea. Sasa nahisi hata hicho kisingizio cha macho utakua umekisikia tu sehemu ukaona u-paste kichwani kwangu. I'm disappointed!!

Hehehehe mimi kwasababu nilitaka kukujulisha hata kama sina uhakika. . .
 

aaaggh owkey!
Just naelewa umekufa kwangu so hayo mengine utamezea tu!

Unajua, sijapigaga mistari kitambo sana tena (mara ya kwanza na ya mwisho ni darasa 7) wala kupigwa mistari kama hlo....
Hivi baada ya tongozo kinafuataga kitu gani?
Nipe uzoefu wako!
 
kwanza mnapamba
kisha mnasheherekea

aaaggh owkey!
Just naelewa umekufa kwangu so hayo mengine utamezea tu!

Unajua, sijapigaga mistari kitambo sana tena (mara ya kwanza na ya mwisho) wala kupigwa mistari....
Hivi baada ya tongozo kinafuataga kitu gani?
Nipe uzoefu wako!
 

Hamezei mtu hapa.

Baada ya tongozo kama hilo lako lililojaa jeuri unapigwa chini kama kaa la moto. . .lolz

Jipange upya!!!
 
Hamezei mtu hapa.

Baada ya tongozo kama hilo lako lililojaa jeuri unapigwa chini kama kaa la moto. . .lolz

Jipange upya!!!

Ah jamani jeuri yangu imetokea wapi tena hapo?
Ok najipanga!
 
Yani BAK wewe, hit ya kila occasion unayo.
Nasubiria za Valentine.

Sio kila occasion doto ni baadhi tu. Hiyo nimeangalia kwenye music library yangu sinayo lakini nitakutafutia πŸ™‚ labda nitaipata πŸ™‚. Msalimie Kurwa mwambie namtakia weekend njema.
 
hii inanikumbusha maika ile nipo o-level.mtu ulikuwa unaonekana mjanja kuandika love songs za waimbaji mashuhuri ktk kijidaftali maalum.kipindi hicho haya mambo ya mp3 na mp4 yalikuwa bado hayajafika huku kwetu.btw hizo verse hapo juu umezi-copy kwa mwanamziki gani.lol
 


Maana ya kuandika pale "By Lizzy" ni kwamba nimeandika/tunga mimi na sio nimecopy. . . that's not my style!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…