Jombaa hamna namna itabidi uwe mlokole. Ujitose kabisa hadi uanze kuongea zile lugha za kiroho kanisani. Waambie vijana kanisani kwamba Mungu amekuamuru mkafunge na kuomba mlimani wiki nzima. Ila wewe uwe umefika huko kwanza na ukaficha chakula cha kutosha. Ikifika siku ya tatu na bado upo strong watakutambua sana. Hapo sasa chochote utakachokuwa ukisema kitakuwa kimetoka moja kwa moja kutoka kwa Mungu. Mimi ilinibidi nifanye hivyo. All the best.