I Testify Kweli Kabisa Imenitokea

Mie sio mtoto ni umri wa babaako mzazi. Kama una cheda watoto wa mwaka 1993 basi hapo nilikuwa ndio nimeachana na mke wangu wa kwanza tukiwa tumezaa watoto wawili. Haya niamkie haraka
 
Mna kasi ya ajabu Sana.. Yaani ndani ya siku mbili tu mmeshapanga kulalana..na mtoto anataka akuzalie, watu mna mioyo ya ajabu... Aisee hayo mapenzi ni ya speed ya light

Anyway endelea kuwa makini. UKIMWI upo na unaua.
 
Mie sio mtoto ni umri wa babaako mzazi. Kama una cheda watoto wa mwaka 1993 basi hapo nilikuwa ndio nimeachana na mke wangu wa kwanza tukiwa tumezaa watoto wawili. Haya niamkie haraka
Shikamoo Baba hila sio kila kitu chai we mzee uwe muelewa vipi au unazeka vibaya ukiwa CHADEMA
 
Mna kasi ya ajabu Sana.. Yaani ndani ya siku mbili tu mmeshapanga kulalana..na mtoto anataka akuzalie, watu mna mioyo ya ajabu... Aisee hayo mapenzi ni ya speed ya light

Anyway endelea kuwa makini. UKIMWI upo na unaua.
Speed mzee sikutaka kuwa nae muda mrefu alafu nashangaa eti kaniganda balaa
 
Ule mtiririko wa nyuzi za ngoma ulio kuwa huku kabla ya pasaka unarudi kwa kasi kuleta mirjesho,wengine watakuwa wameukwaa wengine wamenusurika.Hongera yako mkuu ila haujatuambia kama wewe ulipima.
 
Shikamoo Baba hila sio kila kitu chai we mzee uwe muelewa vipi au unazeka vibaya ukiwa CHADEMA
Marhaba dogo. Halafu mbona kama unachanganya mafaili nani mwanasiasa? sijawahi kujihusisha na siasa halafu siishi Bongo
 
Isikute tu anataka game... kama una elimu vizuri ya kumridhisha bila kuungua, mpe huduma.

Mtoto yuko mpweke ndio maana yupo res.

Msaidie.
 
Ha haaa mkuu kwa zama hizi kama hupendi tumia kondomu hakikisha hizi vitu unazo.una test mechi inafuata
 
Isikute tu anataka game... kama una elimu vizuri ya kumridhisha bila kuungua, mpe huduma.

Mtoto yuko mpweke ndio maana yupo res.

Msaidie.
Yan mkuu hapa kanipiga piga simu tutoke eti sijui wapi anafikiri mapenz yatakuwepo tena
 
Mbona alikubali kuingia hadi guest kama hakupenda kukuumiza...

Isingekua kumkomalia kupima ukimwi, angekutundika...

Cc: mahondaw
 
Mbona alikubali kuingia hadi guest kama hakupenda kukuumiza...

Isingekua kumkomalia kupima ukimwi, angekutundika...

Cc: mahondaw
Ata mimi nimeona kwasababu ana mtot inaonekana ata jamaa aliezaa nae alimtandika mpaka kuna time alinambia et ukimwi ni kitu cha kawaida tu nikamjibu basi kila mtu angekua nao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…