Siafu na Manga
JF-Expert Member
- Aug 5, 2013
- 2,894
- 8,975
Mimba ya one night stand ipo.. ila hapo kinachonishangaza ni kuwa mtu mmekutana mara moja tu anajikuta amekupenda kama amekufahamu toka kitambo???Mtot kanipenda we unashangaa nini hakuna mimba ya one night stander??
Kwa wale wanaotumia vidonge kwa usahihi viral load kuwa low huwa hawawezi kuambukiza partners wao.....shida ni kwa wale wasiojua status zao Na hawatumii dawa.. Unavikumba vyoooooooooooooteeeUnataka kunambia anakua hana ugonjwa au ndo nn??
Hapa napo kuna ukakasi kwenye huo mwaka...[emoji3]Mwaka 993 sijui kama vidonge vilikuwepo
Nakumbuka mpaka miaka ya tisini ama elfu mbili mwanzoni waliokuwa wanamudu vidonge ni madon tu
Kwenye phamacy mkuuKY ataitoa wapi sasa
kua mpoleAcha ufala nidanganye nini??? Sasa mm
Yeye ndo kanambia mkuu ata cheti kanionesha na anasema ana wadogo zake wawili wenyewe wako vizuri walizaliwa kipindi chenyewe kuna dawa za kuzuia maumbukizi kwenda kwa mtotMwaka 993 sijui kama vidonge vilikuwepo
Nakumbuka mpaka miaka ya tisini ama elfu mbili mwanzoni waliokuwa wanamudu vidonge ni madon tu
Na mimi huyu binti sijamuelewa na eti ana hofu nitamuacha unajua tunatofautiana kwenye kucare mkuu mimi ni mwepesi wa mtu kunizoea within a minituesMimba ya one night stand ipo.. ila hapo kinachonishangaza ni kuwa mtu mmekutana mara moja tu anajikuta amekupenda kama amekufahamu toka kitambo???
Anyway labda huko mjini mambo yamebadikika sana nowadays.
1993[emoji28]
Okay, pengine alimaanisha kazaliwa 1993 akiwa na virusYeye ndo kanambia mkuu ata cheti kanionesha na anasema ana wadogo zake wawili wenyewe wako vizuri walizaliwa kipindi chenyewe kuna dawa za kuzuia maumbukizi kwenda kwa mtot
Hizi chai nyingine bana...Mwaka 993 sijui kama vidonge vilikuwepo
Nakumbuka mpaka miaka ya tisini ama elfu mbili mwanzoni waliokuwa wanamudu vidonge ni madon tu
naona hii ni movie ila watu hamjaelewa. hivi huo mwaka 1993 kweli hizo dawa zilikua zimeingia nchini??Anyway kama ni kweli Toka 1993 anatumia dawa kwa usahihi. Basi Hawezi kukuambukiza
ππππAlikuja na cheti siku hiyo hiyo,aisee bonge la coincidence!
Anasema wadogo zake walizaliwa wazima sababu palikuwa na vidonge vya kuzuia maambukizi toka kwa mama kwenda kwa mtotoHizi chai nyingine bana...
Vidonge vimeanza 2010 hiviii...
Chini ya hapo watu walikuwa wanakata moto tu..
Anyway endelea na nyeto...