Mkuu kuna kaukweli hapo,hata kama baadhi ya watu wanaweza kuona kuwa tunadharauliwa lakini ukitazama watu wanavyojiachia kwa kucheza ngoma,idadi wa wategemezi kulinganisha na wafanyakazi,pamoja na muda mwingi tunaopoteza kwa mambo yasiyo ya msingi basi utaona wazi kuwa asilimia kubwa ya waafrika kadri muda unavyokwenda basi wao wanaongeza siku za umri tu lakini ukijiuliza wamefanya nini kujiletea maendeleo yao binafsi achilia mbali maendeleo ya Taifa jibu linakuwa sifuri,ni mambo ya aibu kwetu lakini ndio ukweli wenyewe yatupasa tubadilike na kujali muda.