I reckon Tottenhham to win the English Premier League 2011/2012

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Jan 10, 2009
5,471
733
Being an Arsenal fan I think our team will finish top four but our rivals stands the better chance to win the league. Man United and Chelsea are arleady tired, Liverpool will try to finish top for and big spenders Man City will possibly finish second. Spurs have the best squad with mixed experience players and of course the coach. I reckon them to win the EPL this season what do you think?
 
mpeni pole manure kwani kampita spurs point ngapi na kiporo chake atakicheza lini kwa sisi city bad weekend ni hii na chelski na inakuja dhidi ya arsenane lakini tutawatoboa tu...

viva la city..
 
lligi ya man city inaanza wiki hii, baada ya match dhidi ya chelsi na arsenal !
 
Mkuu subiri bingwa atajulikana ukifika mwezi 2 - 3 mwakani.
 
Unachezea makaaa ya moto mkuu!! Unawatoa kabisa Man's teams. Hawa ni big threat to EPL. Ukiondoka kidogo unakutana na bwawa la maini hawa wako vizuri sana saizi, lolote linaweza kutokea. Baada ya hapo, kuna hawa watoto wa malkia kutoka St. James Park! wameonyesha ushindani wa hali ya juu mwaka huu.

Tuje hapo jijini London, ambako kuna hao Totenham, Arsenal na Chelsea!! kiufupi bado ubingwa uko Manchester kwani hawa City wanakikosi kipana sana. Ukirudi Old Traford, wamepwaya kidogo kutokana na majeruhi, lakini mida hii ya december kuna uwezekano mambo yakawanyookea kwani mitihani mingi wameshaivuka kwa kucheza na hao jamaa niliowataja, kwa hiyo wakiwa makini wanaweza kujikuta wako kwenye usukani.
 
Hawa jamaa wana timu ya ukweli yaani wakiporomoka sana nafasi ya tatu

GarethBale_1429322a.jpg
DOUBLE BUBBLE ... Gareth Bale
 
Top 4 anawezakuwepo but cyo kuchukua Epl bado hajakuwa wakuchukua big scuad cyo ishu cha msing mipango 2
 
Top 4 anawezakuwepo but cyo kuchukua Epl bado hajakuwa wakuchukua big scuad cyo ishu cha msing mipango 2
Nakubaliana nawe kaka ila ujue Harry ana mipango na ndio most probable wa Capello na ni kweli kwabisa mipango ndio muhimu kama ilivyo kwa Furgeson timu yake bomu ila ana mipango huyu sasa wako level on points na noisy neighbors soon atashika uskani ambao akiukalia ndio imetoka...
 
El Toro, ingawa mimi ni mpenzi wa Spurs sifikiri kama tunaweza kuchukua ubingwa msimu huu. Hawa Manchester wawili mmoja wao atachukua, na uwezekano mkubwa ni Man 6, city siwaamini. Wana timu lakini hawana kocha, wanadalili za kuwa kama Liverpool kipindi cha Benitez. Kocha hajui uwezo wa wachezaji wake, mpaka msimu unaisha hana first 11 anapanga kwa kubahatisha. Nahisi hili litawagharimu maana mbele ya safari atahitaji kutumia vifaa vyake to the max wakati hajui atakayeweza kumfikisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom