I real need your help for employment...

I real need your help for employment...

cjuilakini

Member
Joined
Apr 1, 2013
Posts
23
Reaction score
4
katika ukoo wangu mimi ndo mtu wa kwanza kumaliza elimu ya chuo kikuu, nanimefanya application zaidi ya miamoja sijabahatika kupata ajira wala kuitwa kwenye interview hata moja, hapa nilipo maisha yangu ni magumu sana na nipo dar es salaam naishi kwandugu nikiwa naendelea kutafuta ajira, hadi naamua kuandika hapa hali ni mbaya sana na sina alternative nyingine kwani niliamini kwakumaliza kwangu shuleni nitaweza kuwasaidia wa nyuma yangu lakini hadi sasa naona nikama ndoto kwangu kufanya hivyo. Sina ndugu yeyote ambaye labda ni mfanya kazi ktk kampuni wala sehemu nyingine yeyote ambaye angeweza au ataweza kunisaidia. NINA DEGREE YA ACCOUNTING, NAOMBA MSAADA KWAYEYOTE ANAYEWEZA KUNISAIDIA NIWEZE KUPATA AJIRA.

Email yangu ni mkjady@hotmail.com

shukrani kwako uliyeweza kusoma na kunielewa
 
Tulia basi dogo, maana umeanzisha threads tatu kwa mpigo
 
Pole sana na mimi nina ndugu yangu amemaliza MAsters ya marketing Uingereza miaka mitano sasa hanapata kazi. Ka apply lakini wapi. Usikate tamaa iko siku utafanikiwa watapeana ila ipo siku. Usikate tamaa kuwa tu positive. pole sana nakuombea ufanikiwe sina ninayemjua nami ni mtotonwa mkulima.
 
Janjaweed naona ameanzisha nyuzi nyingi kwa frustration. Naamini kazi zipo ila kwakuwa hatuna ndugu wala hela ya kuyoa rushwa ndio haya yanayukuta. Mwenye msaada tafadhali msaidieni. Ila uwe tu positive atatokea mtu atakupa ajira. Wanasema subira yavuta heri. Kila la heri.
 
Nimemuelewa, haya mambo ya kazi magumu sana, nakumbuka miaka ya tisini nilishawahi kukaa miezi tisa bila kazi, cha moto nilikiona
 
ndugu yangu, pole sn, kazi zipo nyingi tatizo utazipataje? Ushauri omba hata kuvolunteer ktk makampuni then kupitia hapo naamini nafasi ikitokea watakuchukua. Pole ila usikate tamaa ndugu.
 
tatizo ni kwamba no fair ground kwenye ajira nowdays issue is who know you,mwenzio nimemaliza tangia 2011 BCOM NA sasa namalizia CPA(t) nimefanya application 58 NIMEITWA MBILI tu - pride na world vission BT BADO NAPAMBANA na SASA NIMEJIIMARISHA ZAIDI kuchukua UDIWAN KATA YA unga ltd NIMEANZA NA BARAZA LA KATIBA.
 
Kama vipi piga postgraduate ya education ipo ya udsm online ni M.1.6 tu ni mwaka mmoja tu best.
 
katika ukoo wangu mimi ndo mtu wa kwanza kumaliza elimu ya chuo kikuu, nanimefanya application zaidi ya miamoja sijabahatika kupata ajira wala kuitwa kwenye interview hata moja, hapa nilipo maisha yangu ni magumu sana na nipo dar es salaam naishi kwandugu nikiwa naendelea kutafuta ajira, hadi naamua kuandika hapa hali ni mbaya sana na sina alternative nyingine kwani niliamini kwakumaliza kwangu shuleni nitaweza kuwasaidia wa nyuma yangu lakini hadi sasa naona nikama ndoto kwangu kufanya hivyo. Sina ndugu yeyote ambaye labda ni mfanya kazi ktk kampuni wala sehemu nyingine yeyote ambaye angeweza au ataweza kunisaidia. NINA DEGREE YA ACCOUNTING, NAOMBA MSAADA KWAYEYOTE ANAYEWEZA KUNISAIDIA NIWEZE KUPATA AJIRA. Email yangu ni mkjady@hotmail.com shukrani kwako uliyeweza kusoma na kunielewa
pole sana mungu yupo atakusaidi jitahidi kutuma application na uckate tamaa
 
nashukuru sana kwa ushauriwenu wana jf, Mungu awabariki sana.
 
Pole sana. Usikate tamaa lakini kwanza hebu badili attitude yako. Hili jina unalojiita humu jf says a lot about you. Usikate tamaa.
 
VACANCY
PRIDE Tanzania is the largest Microfinance institution in Tanzania with a fast growing business which includes a nation-wide network of 70 branches and a portfolio of about Tshs. 70 billion. The institution seeks to recruit new credit officers to enhance its expansion program in Rural areas.
POSITION: Credit Officer.
DUTIES AND RESPONSIBILITIES.
 Recruitment and training of clients,
 Loan portfolio management,
 Provide client support,
 Working under the supervision of the Branch Manager.
QUALIFICATIONS
 University graduates in any of the following disciplines: BA in Economics, BA in Statistics, BA in Political Science and Sociology, B.A with Education, B.Com in Banking and Financial Services, B.Com in Marketing, B.com in HR Management, Bachelor of Business Administration, and B.Ed.in Commerce.
 A dynamic person, good interpersonal skills, ready to work with minimum supervision and willing to work in rural based branches.
 A Tanzanian National, aged between 22 – 35 years.
REMUNERATION
Within PRIDE Tanzania Salary Scale.
METHOD OF APPLICATION
Your application should include a letter of application, attaching copies of academic certificates, detailed Curriculum vitae, provide to names of two referees and include your mobile telephone contact.
Submit your letter of application through our mail box indicated below or directly at any nearest PRIDE Branch office of your choice before the 15th April, 2013.
The Managing Director,
PRIDE Tanzania,
P.O Box 13900,
ARUSHA.
PRIDE Tanzania is an Equal Opportunity Employer
 
Back
Top Bottom