waoooh!jamani kupendwa rahaaaa!All the best wapendwa
Wooow! Hongereni mlipofika mzidi kupendana na kupendana kila iitwapo leo. Mniweke kwenye kamati tena nafasi ya uweka hazina
Asante valley!msalimie mmeo uran.mwambie aje aone true love on air!
Zimefika my dia,tunasubiri siku ya tukio. Afu mwambie masai dada anicount in kwenye hiyo sare
rafiki, siku hizi nakimbia sana swala la kulea ndoa za watu........ sijui ndo uzee umekolea.
BTW, juzi jopo la majaji walihalalisha ndoa yangu na yule mume rasmi, sasa ni mimi na yeye, yeye na mimi......katika shida na raha.........mpaka kifo kitutenganishe.
Nawe nakutakia kila la heri, take my advice seriously, hope hapa sasa babu Dark City ataelewa, lol!
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............Mkubwa mwenzangu mbona unanirusha roho....
Hebu check tena hiyo title halafu unaamibiwa FP anakuita.....very exciting...but just became instantly nervous!!
Nitarudi baadaye kidogo!!
Zimefika my dia,tunasubiri siku ya tukio. Afu mwambie masai dada anicount in kwenye hiyo sare
ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa............
kumbe mimi siyo kilaza, lol!
Toa nyoka pangoni na mate ya sumu mdomoni....
haya twakusubiri mkubwa mwenzangu
ha haaa, mkubwa mwenzangu soma kati ya mistari..... nina uhakika hii unaweza kuhimiliHivi umesahau kwamba wengine akili zetu zilishakuwa nyembamba kiasi kwamba hazihimili vishindo vya excitements? Naona hutakii mema mkubwa mwenzangu......
Haya sasa .....tunapiga story ya kuhusu nini hapa?
ha haaa, mkubwa mwenzangu soma kati ya mistari..... nina uhakika hii unaweza kuhimili
Ondoa shaka beibee!!cnt mic yah with any man!
Naisubiri kwa hamu....Thread inayofwatia nakufungulia wewe
mambo mpendwa....