FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,418
Nimejitahidi kusoma nikahisi kama nasoma novel vile
pole sana
pole sana
Kumbe kiswahili unajua saa si uwandike kwa kiswahili jamani
Mbona unatuchosha na ugumu wote wa maisha huu
Hivi na wewe unaamini hii story ni ya kwake?? endelea kuamini tuLeo umetuweza wapenda umbea, Mh ikawaje ulivyosoma diary
Ndo umeamuq kunikimbia kule pm..?! [emoji19] [emoji19] [emoji19]Unajua bora iwe ndefu ila mtu ukisoma unaelewa.... sasa hapa katuchanganya tu
Nakurudia mkuuNdo umeamuq kunikimbia kule pm..?! [emoji19] [emoji19] [emoji19]
I agree with you.Sometimes i think men are much more complicated. It's hard to tell what he's thinking.
Kwa hiyo angeendelea kujidanganya kuwa anapendwaMORAL OF THE STORY: DON'T EVER OPEN SOMEONE'S DIARY.