I have got a new i-phone 4s,
But I can't do much with it more than phone calls and sms!
I have tried some functions like internet---is too slow!
Camera--photo quality poor!
Sync with my computer is also not possible!
I think the problem may be is settings or the phone is not original from apple!
Wataalam--I need your help!
True hata mimi nimeziona iPhone 4s, pale mwenge, tena zimeandikwa apple, jamaa wanasema ni mchina. Original ukiingiza ktk i tunes inaonekanaKwanza pole sana kutokana na maelezo yako yawezekana hiyo ni Mchina maana amezi-fake Iphone 4S nyingi sana kuna mwarabu kafungwa hapa Israel kwa kuziingiza simu aina ya Iphone 4S ambazo ni fake.
1. Ili ujue Iphone 4S yako ni fake unga kwenye computer yako yenye Itune itune haitaitambua
2. Applications zake nyingi ni games tu sinu yenyewe ni nyepesi na bei yake FOLOLO.
3. Iphone 4S haina torch kama ina torch jua ni Fake.
4. Haina CYDIA
Mengine wataalamu watakujukisha zaidi
haina torch lakini ina flash ambayo unaweza kutumia kama torchcydia ni app ya kujailbreak iphones na kuwepo kwake ndo kithibitsho kabisa kwamba hiyo iphone ni OGKwanza pole sana kutokana na maelezo yako yawezekana hiyo ni Mchina maana amezi-fake Iphone 4S nyingi sana kuna mwarabu kafungwa hapa Israel kwa kuziingiza simu aina ya Iphone 4S ambazo ni fake. 1. Ili ujue Iphone 4S yako ni fake unga kwenye computer yako yenye Itune itune haitaitambua 2. Applications zake nyingi ni games tu sinu yenyewe ni nyepesi na bei yake FOLOLO. 3. Iphone 4S haina torch kama ina torch jua ni Fake. 4. Haina CYDIAMengine wataalamu watakujukisha zaidi
Kwanza pole sana kutokana na maelezo yako yawezekana hiyo ni Mchina maana amezi-fake Iphone 4S nyingi sana kuna mwarabu kafungwa hapa Israel kwa kuziingiza simu aina ya Iphone 4S ambazo ni fake.
1. Ili ujue Iphone 4S yako ni fake unga kwenye computer yako yenye Itune itune haitaitambua
2. Applications zake nyingi ni games tu sinu yenyewe ni nyepesi na bei yake FOLOLO.
3. Iphone 4S haina torch kama ina torch jua ni Fake.
4. Haina CYDIA
Mengine wataalamu watakujukisha zaidi
Asante mkuu kwa msaada! NGOJA NIJARIBU NITAKUPA JIBU! THANKSNenda kwenye settings then general, then about, angalia vizuri utaona sehemu pameandikwa serial number. Andika hiyo serial number kisha nenda kwenye customer support kwenye website ya apple, kuna sehemu ya kuverify serial number. Kama simu yako ni original, itakuwa identified by model yake, kama sio haitakuwa recognized kabisa!
Mkuu nashukuru sana kwa Kunifungua Macho! Dalili zote zinaonyesha nimeuziwa Fake!Maana nimejaribu kuiweka kwenye itune haionekani!, pia applications zake zaidi ya nusu ni game,mpaka sasa imekuwa simu ya wanangu kuchezea! Ina touch. Hiyo CYDIA sijajua ni nini lakini dalili za awali zinaonyesha ni fake.
Nashukuru kwa maelezo mazuri!