illegal migrant
JF-Expert Member
- Oct 18, 2013
- 1,277
- 1,119
Risiti ninayo ile manual nawabananishaje ndugu?Umuhimu wa risit ndio kwenye mambo kama hayo , ungekuwa nayo ni rahis tu kuwabananisha pole sana.
Nenda na polisi, wapange wakusaidie mrudishiwe hela yenuRisiti ninayo ile manual nawabananishaje ndugu?
Kwa bongo sijaona sehemu ya kununua i phone zaidi ya kwa dealers wao. Karibia zote ni mbovu tuAisee, kesi kama yako imenikuta kwa iphone city wa sinza... sijajua kama wana uhusiano wowote au vip..
maana jamaa wanauza iphone za kuunga hapahapa bongo, yan simu box kuuubwa halaf imeegeshwa.. yani dakika mbili imeharibika, mara hiki mara kile..
Ukifatilia kubadilisha unaanza kulishwa maneno.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Aisee, kesi kama yako imenikuta kwa iphone city wa sinza... sijajua kama wana uhusiano wowote au vip..
maana jamaa wanauza iphone za kuunga hapahapa bongo, yan simu box kuuubwa halaf imeegeshwa.. yani dakika mbili imeharibika, mara hiki mara kile..
Ukifatilia kubadilisha unaanza kulishwa maneno.
Sent from my iPhone using JamiiForums
baada ya kupigwa ndio unakumbuka!? pambana muraakwanza sijui wana operate vipi hawana Mashine ya risiti ya kielektroniki basi ni utapeli wizi wizi mtu “buyers beware”