I-PHONE 4s INAUZWA

I-PHONE 4s INAUZWA

Mkubya

Member
Joined
Oct 2, 2013
Posts
53
Reaction score
24
Simu iphone 4s origino inauzwa na ni used imetumiaka miezi 7 tuh , ipo katika condition nzuri haina michubuko , inakila kitu ktk box kasoro earphones tuh , simu pekee bei 650000/= ukitaka na metalik aluminium cover yake utaongeza 30000/= tuh

Call or txt 0785846645
 
650K? Si mchezo!
 
kwa bei hiyo labda na ww wanakununua ukawajibike na midu.....me ya nguvu.
 
Ww boyaa kwelii , mpya 1.2 million , kama wataka c ukabuy iphone 4s kwa laki mbili imetumika 4yrs , unapata kitu kizuri cha uhakika kwa bei ya uhakika na guarantee , acha lugha chafu ---- ww , sio babu yako mie
 
Si bora mtu ukanunue Galaxy S4 mini kwa laki 6 na Nusu ambayo imempiku huyu Iphone 4s.

Vogue old model mpya kamwe haiwezi kuuzwa bei sawa na NOAH mkuu japo noah ni mpyaa na ipo sokoni
 
Huyo anaonyesha ni mgeni wa smart phones...yani iPhone na Galaxy races utaweza kuzifananisha?! iPhone ni mashine nyingine.
 
Yote ya nini!? wakati hapo kwa bei iyo napata Tecno Phantom lAngu jipyaaaa na chenchi narudishiwa
 
iphone 4s 650000 used???????? note 2 mpya na box inauzwa 650000!!!! nauza 4s nyeupe used laki 420000 used na good condition..
 
Sorry bro iphones are for smart n class people , ww tumiaa tuh hizoo cmu zako baada ya mwaka inakua scraper !! # team apple
 
iphone 4s 650000 used???????? note 2 mpya na box inauzwa 650000!!!! nauza 4s nyeupe used laki 420000 used na good condition..

Inategemea yangu ni used kidogo yako imejichokea thats y unauza bei yakutupa je betry si itakua imechoka , yangu used like new come n see
 
Huyo anaonyesha ni mgeni wa smart phones...yani iPhone na Galaxy races utaweza kuzifananisha?! iPhone ni mashine nyingine.

Achana nae huyuu !! Akanunue techno " They will always be an i-phone and other phones"
 
Punguza kidogo bwna weka hata 500,000/=
Simu iphone 4s origino inauzwa na ni used imetumiaka miezi 7 tuh , ipo katika condition nzuri haina michubuko , inakila kitu ktk box kasoro earphones tuh , simu pekee bei 650000/= ukitaka na metalik aluminium cover yake utaongeza 30000/= tuh

Call or txt 0785846645
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom