I nidi yua helpu

Kama hukurithi saa nyingine Kula kucha ni dalili ya "emotional or mental stress".
Inaonekana wakati unaogopa kitu, uko
nervous, anxious or feeling down. Unakula kucha ili kucope na hali hiyo.
Saa ingine unang'ata ukiwa bored, una njaa au hujiamini amini. Huwa ni automatic.

Kuzuia inabidi uwe unazitrim vizuri.ziwe ndogo.
Paka rangi zile chungu ili uking'ata unaacha(Kuna rangi zina taste mbaya).
Usome ni nyakati gani huwa unazikula ili utafute kitu kingine cha kuchezea kuhandle sitelesi.. au ufanye mdomo uwe busy kula bigi Jiii etc..
Weka malengo tafuta kucha moja uwe huikuli for a month.. then ukiweza unaongeza nyingine.. mpaka zote..

Ila ni kaziiiiii.... All the best
 
duuuh ngoja nijaribu japo kupaka rangi utata

Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mwaume wa wapi mkuu?
 
Mimi bado sijaacha na hapa natafuna kucha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…