Black Coffee
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 1,937
- 3,202
sijui anashida sijui ndo kaamkaNaomba uhusiano wa ulichoweka na ulichoniquote.
Nilitakukuonyesha side B ya huyo jamaa. Sijui una complain ninisijui anashida sijui ndo kaamka
Kakurupuka huyo.sijui anashida sijui ndo kaamka
Na hiyo side b yake ina uhusiano gani na ulichoquote!!!!!Nilitakukuonyesha side B ya huyo jamaa. Sijui una complain nini
Na hiyo side b yake ina uhusiano gani na ulichoquote!!!!!
Sawa team leaderNilitakukuonyesha side B ya huyo jamaa. Sijui una complain nini
Haha haya katibuSawa team leader
Cha kufanya kaa usome na move on ila kama utaweza kushare share tu hayo ni mambo ya kawaidaHellow MMU...!!!
After a drastic semester at last it's down to the wire, thanks God...!!! Kitabu kilikua cha kikuda kinyama.
Back to the topic...
Kuna this chick, nilijuana nae almost a year now, wakati tupo jeshini-kigoma. Honestly ni mzuri sana, she's just too adorable, mpole, mkarimu, she's cute looking...she got 'em all.
At first alikua rafiki 'angu wa karibu sana,tulikua wote almost muda wote, as we were all leaders.
Nilishuhudia makamanda wengi wanakapigia misele, lkn wapi... she was that stable. Sikua na mpango nae kbs,coz nilijua we'd never meet again after the course.
Method to my madness, surprisingly enuf, ikatokea kama bahati, selection za chuo zilipotoka nikawa nimepangwa nae chuo ki1, it was like, c'mon im i dreaming....
Basi nikaongeza mazoea, chating siku nzima, story za hapa na pale hazikuisha. The 1st time tulionana tena baada ya kutoka jeshini ilikua siku ya kuripoti, so we did all the registration processes in a pair.
Basi siku zikaenda, ukaribu ukawa unaongezeka, till point X hit the mark. Si kidume nikaamua nistand on my balls, nikampiga stanza mtoto,heeeh out of the blue si akachomoa bana. Ah nikakomaa nae mdg ndg ka mwezi hivi, at last we had a spot to seal deal.
Bas penzi likakolea likafika patamu, even too ecstatic to define. Baada ya kama 3month hivi, i got in into her pants... She really enjoyed the pumps, i too. So baada ya hapo ikawa sio shida tena kupata kamchezo mara moja moja.
Does love die a natural death??
Kwakweli Sijui nini kikamwingia huyu mtoto, mara ghafla akaanza kubadilika, she ain't paying lot of attention on this luv, sahivi muda wote yupo very busy, hana hata muda wa kupoteza, tulizoea kula pa1, kurudi hostel pa1 nk lkn nashangaa sahivi hana ushirikiano hata punje. Pia nimeanza kupata hofu zaidi, hasa kwasasa she's too refined, anaonekana ana tupesa pesa twa hapa na pale, anagonga viwalo tofauti na awali...:
Leo nikamtafuta tukaonana, tukapiga sana story,she showed some concern, alikua na furaha sana,baada ya story nyingi mwishoe nikawa curious kujua kuhus r/ship yetu, nilivyogusia hiyo habari,akaonesha kudhohofika sn, suddenly she felt so gloomy ....mara machozi yakaanza kumlenga then akanipa simu na kuniambia nisome msg.
Kwakweli nilifedheheka sn, as kuna conversation inaonesha kua anadate na mtu mwingine ambae, kiukweli anaonekana yupo vizuri financially.
Kwakweli nilishindwa kuendelea kusoma nikamrudishia sim, actually she couldn't fight back her tears, huku akiniomba msamaha, eti hakua na jinsi nyingine zaidi ya kunicheat. Aliendelea kutoa machozi huku akisema ananipenda sana.
Asee this thing really pains hadi mifupani,I'm totally confused, sijui hata nini nifanye...
Hellow MMU...!!!

Kumbe we ndo umefukua kaburiAhaha mkuu leo niliamua kupitia nyuzi zako hii imenichekesha saaaana vp bado mnawasiliana na hyo binti?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipata shauku la kujua maendeleo ya bintiKumbe we ndo umefukua kaburi
Akikijibu untag
Hahaaa,yani jamii forums ingekuwa na kipengele cha ku delete ID ili mtu uanze upya kupost kistaarabu...maana kila unachopost kinatunzwa na kinakuja kukuumbua baadaehii JF inabidi uwe makini sana.
Kuna ID yangu moja, kule huwa napost kistaarabu.
Kuna chick mmoja humu kanipenda kwa ID ile, yan akijua hii ID ni yangu pia atazimiaaaaaaaaaaaa
Sent From Ikulu-Magogoni street
Ahhh kwani ulidhani miaka inaganda aisee...