usernameyangu
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 249
- 360
Na mapenzi ya chuo.....Vijana wa chuo......
Young man soma kwanza mkuuuu pambana mapenz ya kweli yalisha isha tangu WW2 huko pambana na shule wapo wengi kuliko sieHellow MMU...!!!
After a drastic semester at last it's down to the wire, thanks God...!!! Kitabu kilikua cha kikuda kinyama.
Back to the topic...
Kuna this chick, nilijuana nae almost a year now, wakati tupo jeshini-kigoma. Honestly ni mzuri sana, she's just too adorable, mpole, mkarimu, she's cute looking...she got 'em all.
At first alikua rafiki 'angu wa karibu sana,tulikua wote almost muda wote, as we were all leaders.
Nilishuhudia makamanda wengi wanakapigia misele, lkn wapi... she was that stable. Sikua na mpango nae kbs,coz nilijua we'd never meet again after the course.
Method to my madness, surprisingly enuf, ikatokea kama bahati, selection za chuo zilipotoka nikawa nimepangwa nae chuo ki1, it was like, c'mon im i dreaming....
Basi nikaongeza mazoea, chating siku nzima, story za hapa na pale hazikuisha. The 1st time tulionana tena baada ya kutoka jeshini ilikua siku ya kuripoti, so we did all the registration processes in a pair.
Basi siku zikaenda, ukaribu ukawa unaongezeka, till point X hit the mark. Si kidume nikaamua nistand on my balls, nikampiga stanza mtoto,heeeh out of the blue si akachomoa bana. Ah nikakomaa nae mdg ndg ka mwezi hivi, at last we had a spot to seal deal.
Bas penzi likakolea likafika patamu, even too ecstatic to define. Baada ya kama 3month hivi, i got in into her pants... She really enjoyed the pumps, i too. So baada ya hapo ikawa sio shida tena kupata kamchezo mara moja moja.
Does love die a natural death??
Kwakweli Sijui nini kikamwingia huyu mtoto, mara ghafla akaanza kubadilika, she ain't paying lot of attention on this luv, sahivi muda wote yupo very busy, hana hata muda wa kupoteza, tulizoea kula pa1, kurudi hostel pa1 nk lkn nashangaa sahivi hana ushirikiano hata punje. Pia nimeanza kupata hofu zaidi, hasa kwasasa she's too refined, anaonekana ana tupesa pesa twa hapa na pale, anagonga viwalo tofauti na awali...:
Leo nikamtafuta tukaonana, tukapiga sana story,she showed some concern, alikua na furaha sana,baada ya story nyingi mwishoe nikawa curious kujua kuhus r/ship yetu, nilivyogusia hiyo habari,akaonesha kudhohofika sn, suddenly she felt so gloomy ....mara machozi yakaanza kumlenga then akanipa simu na kuniambia nisome msg.
Kwakweli nilifedheheka sn, as kuna conversation inaonesha kua anadate na mtu mwingine ambae, kiukweli anaonekana yupo vizuri financially.
Kwakweli nilishindwa kuendelea kusoma nikamrudishia sim, actually she couldn't fight back her tears, huku akiniomba msamaha, eti hakua na jinsi nyingine zaidi ya kunicheat. Aliendelea kutoa machozi huku akisema ananipenda sana.
Asee this thing really pains hadi mifupani,I'm totally confused, sijui hata nini nifanye...
Jinsi nilivyofanikiwa kutengeneza Sh. Milioni 19.9 ndani ya siku 35 kwa kutumia Milioni 3.8Wenzako wanasema hivi nanukuu" mungu nijalie demu mpenda pesa ili niwe na mawazo ya kuwa kama Bakhresa" ,,,,,,,,usiumie inakiwa ukae kama umepewa motisha ya kutafuta pesa be a man dude!!!
Vijana wa chuo......
Na mapenzi ya chuo.....
Stupid!
Young man soma kwanza mkuuuu pambana mapenz ya kweli yalisha isha tangu WW2 huko pambana na shule wapo wengi kuliko sie
Samahani Complex, "hapo kwenye jifunze kuwa gentlemen" how to be gentlemen?Tatizo ulizoea mapenzi ya tamthiliya na showoffs. Kula pamoja, muda wote mko pamoja hii kitu inawacost sana wanaume. If you practice this kind of relationship, believe me utapata tabu sana kucontrol relationship yako. With that kind of relationship tegemea matatizo mengi kuibuka, kama vile kukaguana simu mara kwa mara, kuulizwa maswali ya upo wapi/unafanya nini/ upo na nani (i hate most haya maswali ) mara kwa mara na mengineyo ya kipuuzi. Wanaume naturaly tumeumbwa kama viongozi, women should be followers and contributors when needed to. Wanawake wanafundishika, all matters ni awe na upendo hata kidogo kwako. Hivyo basi with this characters uongozi huwa unakuwa mgumu sana, na kupelekea wengi kushindwa kuongoza na mahusiano kutetereka. "Ishini nao kwa akili"
Ingawaje kwa kesi yako haiihusiki directly, ila somehow inahusika, kwani now inakuwia vigumu kukaa lonely. Hapo kubaliana nae kiroho safi, mwache aende ila stori ziwepo usinyee kambi. Ukimng'ang'ania atakuumiza kichwa na hutofuatilia masomo. Jifunze kuwa gentleman, utaenjoy masuala ya mahusiano.
If you practice that method utaishi kwa amani sana.
Noted with tnx mkuu nadhani ni chai bila sukar papalai
Usiifikirie upande mmoja fikiria pia jamaa ni mtu aliye na maendeleo makubwa lalashe.Noted with tnx mkuu nadhani ni chai bila sukar papalai
Eroo sipingi yye kuwa na maendeleo mkuu what I ment ni kwamba bandiko lake lina kinzana may b ni mere taleUsiifikirie upande mmoja fikiria pia jamaa ni mtu aliye na maendeleo makubwa lalashe.
[emoji3][emoji106]Eroo sipingi yye kuwa na maendeleo mkuu what I ment ni kwamba bandiko lake lina kinzana may b ni mere tale
Got u bobHellow MMU...!!!
After a drastic semester at last it's down to the wire, thanks God...!!! Kitabu kilikua cha kikuda kinyama.
Back to the topic...
Kuna this chick, nilijuana nae almost a year now, wakati tupo jeshini-kigoma. Honestly ni mzuri sana, she's just too adorable, mpole, mkarimu, she's cute looking...she got 'em all.
At first alikua rafiki 'angu wa karibu sana,tulikua wote almost muda wote, as we were all leaders.
Nilishuhudia makamanda wengi wanakapigia misele, lkn wapi... she was that stable. Sikua na mpango nae kbs,coz nilijua we'd never meet again after the course.
Method to my madness, surprisingly enuf, ikatokea kama bahati, selection za chuo zilipotoka nikawa nimepangwa nae chuo ki1, it was like, c'mon im i dreaming....
Basi nikaongeza mazoea, chating siku nzima, story za hapa na pale hazikuisha. The 1st time tulionana tena baada ya kutoka jeshini ilikua siku ya kuripoti, so we did all the registration processes in a pair.
Basi siku zikaenda, ukaribu ukawa unaongezeka, till point X hit the mark. Si kidume nikaamua nistand on my balls, nikampiga stanza mtoto,heeeh out of the blue si akachomoa bana. Ah nikakomaa nae mdg ndg ka mwezi hivi, at last we had a spot to seal deal.
Bas penzi likakolea likafika patamu, even too ecstatic to define. Baada ya kama 3month hivi, i got in into her pants... She really enjoyed the pumps, i too. So baada ya hapo ikawa sio shida tena kupata kamchezo mara moja moja.
Does love die a natural death??
Kwakweli Sijui nini kikamwingia huyu mtoto, mara ghafla akaanza kubadilika, she ain't paying lot of attention on this luv, sahivi muda wote yupo very busy, hana hata muda wa kupoteza, tulizoea kula pa1, kurudi hostel pa1 nk lkn nashangaa sahivi hana ushirikiano hata punje. Pia nimeanza kupata hofu zaidi, hasa kwasasa she's too refined, anaonekana ana tupesa pesa twa hapa na pale, anagonga viwalo tofauti na awali...:
Leo nikamtafuta tukaonana, tukapiga sana story,she showed some concern, alikua na furaha sana,baada ya story nyingi mwishoe nikawa curious kujua kuhus r/ship yetu, nilivyogusia hiyo habari,akaonesha kudhohofika sn, suddenly she felt so gloomy ....mara machozi yakaanza kumlenga then akanipa simu na kuniambia nisome msg.
Kwakweli nilifedheheka sn, as kuna conversation inaonesha kua anadate na mtu mwingine ambae, kiukweli anaonekana yupo vizuri financially.
Kwakweli nilishindwa kuendelea kusoma nikamrudishia sim, actually she couldn't fight back her tears, huku akiniomba msamaha, eti hakua na jinsi nyingine zaidi ya kunicheat. Aliendelea kutoa machozi huku akisema ananipenda sana.
Asee this thing really pains hadi mifupani,I'm totally confused, sijui hata nini nifanye...
Naomba uhusiano wa ulichoweka na ulichoniquote.
Haya.Naomba uhusiano wa ulichoweka na ulichoniquote.
Hahahha kwelii kabisaakama huna hela watoto wazuri utawaita mashemeji tu